Kombani na Lissu Live on Star TV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kombani na Lissu Live on Star TV

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndebile, Nov 16, 2011.

 1. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Celina anatetemeka hadi nondo zote alizoziandaa hazisomeki! Hebu angalia mwenyewe
   
 2. Wabogojo

  Wabogojo JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mh. Tundu Lissu anajaribu kutufafanulia ni kwanini CHADEMA kimekuwa na msimamo huu walionao dhidi ya Muswada wa Katiba Mpya.

   
 3. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wanene kinaga ubaga msitakabali wa nchi hii kwa sasa na baadaye
   
 4. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Mi cpendi sana wa2 wabinafsi yani huyu mama yeye anangalia maslahi ya chama c wananchi kabisa
   
 5. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na Kombani yeye kasema nini?
   
 6. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  niangalie wapi mi nipo kwenye bas bana.!!! We sema nini hasa kinaendelea hapo...
   
 7. F

  FredKavishe Verified User

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jaman wengne umeme hakuna tuelezeni vizuri
   
 8. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Shusha maelezo mkuu wengine tuko mbali na runinga. Mama wa kutumwa anasemaje?
   
 9. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wakuu, wengine tuko ughaibuni tv yetu ni JF jitahidini kutuwekea hapa yanayoendelea live.
   
 10. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  huyo kombani mbona sio saizi ya lisu....sana sana hapo atajiuma na kuijadili chadema badala ya mswaada
   
 11. std7

  std7 JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Kombani maji yako shingoni nafikiri anajuta kushiriki tuongee asubuhi.
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  kuna point gani za maana anaongea hapo
   
 13. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wakuu, wengine tuko ughaibuni tv yetu ni JF jitahidini kutuwekea hapa yanayoendelea live.
   
 14. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  kweli wapendwa ukiamua kutoa thread ambao inahusu mjadala kwenye tv jitahidi kutoa update maana sio wote wenye access ya tv wakati huo.. hizi habari nusunusu sio nzuri ..ingawa sinatupa awareness tu
   
 15. Relief

  Relief JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani sie wengine tupo huku Tanzagiza mliopo Tanzania tujuzeni vizuri tafadhali:focus:
   
 16. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hata ungekuwa bongo no umeme kama huna genereta sahau star tv
   
 17. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Labda ndio maana wakaweka huo mjadala mida hii ambayo hakuna umeme ili watu wengi wasiuone, loh magamba wana akili sana vinginevyo Celina asingekubali kuja hapo
   
 18. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mtoa maada ni hopeless kwa nini hauleti update za mjadala
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nimegundua kuna watu huwa wanataka kuwa wa kwanza kuleta mada fulani bila kuja na details
  Usikute na yeye kaambiwa
   
 20. Mr. Politician

  Mr. Politician Member

  #20
  Nov 16, 2011
  Joined: May 16, 2008
  Messages: 74
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Kombani anasema serikali ilipewa ruhusa na kamati kufanya mabadiliko wakati yeye Tundu Lissu yupo Tarime kwa iyo atakua hana taarifa kama mjumbe wa kamati. Lissu anamwambie aonyeshe hansard iliyowapa ruhusa naona bibi Kombani ameishia kujichekesha tu
   
Loading...