Katiba Mpya Au Njia ya kupata Katiba Mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba Mpya Au Njia ya kupata Katiba Mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tinno, Nov 16, 2011.

 1. T

  Tinno Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Naomba msaada jamani.Nina changanyikiwa kuhusu utata uliopo sasa kuhusu Katiba.Kubwa lilopo mbele yetu ni Bili ya utaratibu wa kubadili katiba na sio kuandika katiba.Kinachonikera ni kuwa wadau wengi wanapinga bili hiyo ya utaratibu lakini hoja zao zote ni zile za kupinga katiba.Penye ukweli uongo hujitenga.Hebu tuacha bili ya utaratibu ipite halafu tuwe kama ngamia kwenye katiba yaani unaanza kichwa na mwisho mwili mzima
   
 2. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa wengine hawaelewi hata kinachofanyika sasa
  sijui watatuelekeza nini hapa?
   
 3. PROF. ENG

  PROF. ENG Senior Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zote mbili lazima ziwe za uhakika, sio ubabaishaji. Njia ikiwa mbovu tegemea Katiba mbovu.
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  umeshalishwa sumu na magamba wewe, soma vizuri hiyo bili ndo utaelewa vizuri!
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mtoa mada umechelewa sana
   
 6. m

  mgosiwakaya Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Haya ndo matatizo ya wengi wenu kutofatilia haya mambo halafu unakurupuka kuandika vitu visivyojulikana ebu ungerifaa mahojiano ya lisu,kombani na star tv leo asubuhi kama huelewi zaidi nikupe na.ya lisu umgongee ili akupe darasa.
   
 7. T

  Tinno Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Fortunately I have read it all and I know all the shortcomings.What we are fighting is a constitution which can create a playing field which will make it possible to remove ccm but ccm parliament is burying bombs in the very field which we want to pass/play.This is very possible because they have the paliamentary muscle-majority.To defeat them we need to change techniques;in JKT we called them 'Ujanja wa porini' that is work from within.To work from within,is to get the real constitutional changes kickstart.This is the point when people should fight.This has worked in China and Russia and currently Zanzibar where CUF is in the govt but I assure you that is the end of CCM in Zanzibar.

   
Loading...