Tukumbushane vijineno vya Marais mbalimbali kwenye hotuba zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukumbushane vijineno vya Marais mbalimbali kwenye hotuba zao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bujibuji, Nov 11, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  1. Kwanini uhangaike na fotokopi wakati urijino ipo? - Mrisho Kikwete

  2. Ukitaka kula lazima na wewe uliwe- Kikwete.

  3. Ugonjwa huu umekaa pahala pabaya. - Ali Hassan Mwinyi.

  4. Ukila nyama ya mtu utaendelea kula tu- J. K. Nyerere

  nakaribisha wazee wa hotuba za kimataifa mkaribie kumwaga mambo
   
 2. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  ruksaaa, mwenye panya wake, mwenye mhogo wake, mwenye nguruwe wake ruksaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  huyu anajulikana
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  Ikulu ni mahali patakatifu- Mtakatifu J. K Nyerere
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  Watanzania mna wivu wa kike- mkapa
   
 5. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,063
  Likes Received: 7,529
  Trophy Points: 280
  Wananchi wa ukerewe mmejaaliwa kisiwa kizuri lakini kasoro yake ni kuwa hakina minazi.
  Na kisiwa bila mnazi ni kama mwanamke bila shanga - Mzee ruksa.
  Kauli hii aliitoa mwishoni mwa miaka ya themanini alipoongea na wananchi wa ukerewe na kuahi kuwapelekea miche ya minazi ahadi ambayo aliitimiza.
   
 6. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Serikali corrupt haikusanyi kodi.
  Jk nyerere
  watoto wa kike wanaopata mimba shuleni ni kihelehele chao.
  Jakaya.
  Wingi wa magari Dsm unaonyesha wanachi wameendelea sana.
  Jakaya.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  huyu baba alikuwa anawaza uke tu muda wake wote wa kufikiria
   
 8. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  "UKISIKIA MIE NI BABA YAKO UTAANDIKA"?......Mwl J.K. Nyerere akijibu swali la kizushi aliloulizwa na mwandishi mmoja wa habari wa magazeti ya kenya- "Nasikia wewe ni dikteta"
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  Taxation with representation ain't so hot
  either. ~Gerald Barzan
  Taxes, after all, are dues that we pay for the
  privileges of membership in an organized
  society. ~Franklin D. Roosevelt
  The taxpayer - that's someone who works
  for the federal government but doesn't have
  to take the civil service examination.
  ~Ronald Reagan
  America is a land of taxation that was
  founded to avoid taxation. ~Laurence J.
  Peter
  I'm proud to pay taxes in the United States;
  the only thing is, I could be just as proud for
  half the money. ~Arthur Godfrey
  The United States has a system of taxation
  by confession. ~Hugo Black
  Why does a slight tax increase cost you two
  hundred dollars and a substantial tax cut
  save you thirty cents? ~Peg Bracken
  The income tax has made more liars out of
  the American people than golf has. Even
  when you make a tax form out on the level,
  you don't know when it's through if you are
  a crook or a martyr. ~Will Rogers
  Unquestionably, there is progress. The
  average American now pays out twice as
  much in taxes as he formerly got in wages.
  ~H.L. Mencken
  The nation should have a tax system that
  looks like someone designed it on purpose.
  ~William Simon
  We must care for each other more, and tax
  each other less. ~Bill Archer
  The expenses of government, having for
  their object the interest of all, should be
  borne by everyone, and the more a man
  enjoys the advantages of society, the more
  he ought to hold himself honored in
  contributing to those expenses. ~Anne
  Robert Jacques Turgot
  Be wary of strong drink. It can make you
  shoot at tax collectors... and miss. ~Robert
  Heinlein
  The art of taxation consists in so plucking
  the goose as to get the most feathers with
  the least hissing. ~Jean Baptist Colbert,
  attributed
  What at first was plunder assumed the
  softer name of revenue. ~Thomas Paine
  Did you ever notice that when you put the
  words "The" and "IRS" together, it spells
  "THEIRS?" ~Author Unknown
  We have long had death and taxes as the
  two standards of inevitability. But there are
  those who believe that death is the
  preferable of the two. "At least," as one man
  said, "there's one advantage about death; it
  doesn't get worse every time Congress
  meets." ~Erwin N. Griswold
  Income tax returns are the most imaginative
  fiction being written today. ~Herman Wouk
  Capital punishment: The income tax. ~Jeff
  Hayes
  If the Lord loveth a cheerful giver, how he
  must hate the taxpayer! ~John Andrew
  Holmes
  Of course the truth is that the
  congresspersons are too busy raising
  campaign money to read the laws they
  pass. The laws are written by staff tax nerds
  who can put pretty much any wording they
  want in there. I bet that if you actually read
  the entire vastness of the U.S. Tax Code,
  you'd find at least one sex scene ("'Yes, yes,
  YES!' moaned Vanessa as Lance, his taut
  body moist with moisture, again and again
  depreciated her adjusted gross rate of
  annualized fiscal debenture"). ~Dave Barry
   
 10. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Acheni wivu wa kike - Pius Msekwa alipokuwa akijitetea baada ya kubanwa kuwa yeye ni Spika wa Bunge na huku ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Vodacom Tanzania.
   
 11. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  naenda kuwandalia makao - MAkamba,

  Umeme hakuna, kwani mi Mungu - jakaya

  Kwanini TZ Maskini , sijui - Kikwete
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  mwenye nukuu za Makamba atumwagie, maana yule babu alikuwa ni kinara wa kuongea pumba
   
 13. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,577
  Likes Received: 845
  Trophy Points: 280
  haka kazee kalikuwa kanajua maswali atakayoulizwa alafu kanaandaa majibu kabisa, dah!
   
 14. M

  Marytina JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Sijui kwa nini Tanzania NI MASIKINI-JK
   
 15. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,063
  Likes Received: 7,529
  Trophy Points: 280
  Unajifanya kuongea ongea sasa hutfaidi kwani mtoto mkaidi huwa hafaidi - akimuambia Nape Nnauye mbele ya waandishi baada ya Nape kuibua scandal ya mradi wa ujenzi wa jengo la UVCCM.
  Si mnaona siku hizi nazidi kupendeza tofauti na nilivyokuwa serikalini kule njaa tu hakuna kitu, njooni kwenye chama si mnaona....-alikuwa akiwaambia waandishi wa habari.
  Wakiongea kwenye simu na mmoja wa wagombea Ubunge wakat wa mchujo baada ya kura za maoni mjini Dodoma;
  Ma-rope (akizuia kuonana naye ili kutozu tafrani japo waliku karibu akaamua kupiga simu); Eti Ndungu wewe si ni raia?
  Ndungu (akiwa ndani ya suti yake nyeusi); eeer... Ndiyo mzee kwani vp huko?
  Ma-rope: Eti wanasema uliukana urai ukachukua wa sauzi, kwani kuna mtu mwenye ushahidi na hili?
  Ndungu: hapana mzee....
   
 16. CHIETH

  CHIETH Senior Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [SIZE=-1]I always believe that ultimately, if people are paying attention, then we get good government and good leadership. And when we get lazy, as a democracy and civically start taking shortcuts, then it results in bad government and politics.[/SIZE]
  [SIZE=-1]BARACK OBAMA, Sep. 25, 2006 [/SIZE]
   
 17. M

  MZARAMO1 Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ''Ccm siyo baba yangu wala mama yangu kama ni hivyo bora nurudi kwetu butiama nikaendelee kuchunga mbuzi'' Nyerere J.K
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  Kawawa funika kikombe- Nyerere
   
 19. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  "wanafunzi kupata mimba mashuleni ni viherehere vyao"
  "ukitaka kula lazima uliwe kidogo"
  "mbayuwayu akili za kupewa changanya na zako"
   
 20. M

  Mponjori JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 2,210
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ilichakachuliwa hii.
   
Loading...