Mbunge wa Zanzibar ataka SMZ irejeshe kifuta Machozi cha CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Zanzibar ataka SMZ irejeshe kifuta Machozi cha CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGEUZI KWELI, Nov 16, 2011.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Katika kile kinachoonyesha kuwa Zanzibar wanajazma za kiarabu, mbunge wa kwanza kuchangia hoja ya Katiba jioni hii amemtaka makamu wa pili wa Raisi Zanzibar arejeshe kifuta machozi kilichotolewa na Chadema baada ya kuzama kwa Meli ya Spice Islander,na zaidi anasema kwa kifuta machozi kile hata marehemu waliokufa hawakitaki kwa unafiki wao.Za zaidi anasema Msajili akiangalie zaidi Chadema kwani kinaweza kuwa hakina sifa za kuwa Chama na hakina mtu zanzibar.Wameitisha maandamo makubwa kulaani kauli ya Lissu.

  Nini maana ya Maneno haya na ni nini Tishio la wabunge wa znz kwa bara na Chadema?? Je hata kwa CCM wao wanasomeka vipi kimsimamo??

  Nawakilisha..japo nawalaaani mpaka kiama
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hajui asemalo, wajaribu rudisha huo ndo mtakuwa mwisho wao
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wamumkubushe zanzibar walishapeleka barua UN ya kutaka kuvunja muungano, na sasa watu wanajiandaa kwa maandamano makubwa ya kupinga muungano hapo 18th Nov. Je, yote hayo yanachochewa na CHADEMA? Pia ningefurahi kama mtu angepata HANSARD za hawa wabunge, michango yao huko nyuma hasa wakati Sitta akiwa mbunge ilikuwa kushinikiza serikali tatu.
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Nadhani wabunge hawa ni wagonjwa wa akili na tena nadhani wengi wameathiriwa na kale kaugonjwa kao!
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,769
  Trophy Points: 280
  CCM-a na CCM-b wamepanic mwisho wa siku wamejikuta hawajadili hoja na wameishia kuatangaza na kupandikiza chuki.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Zungu anaongea Kama mavuvuzela ya Zenj
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Anaongea point tupu..wananchi wanapotoshwa sana kuhusu hili suala la katiba.
   
 8. M

  Mfwalamanyambi JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  Ndo namsikiliza muda huu nasikia pumba tupu.
   
 9. e

  ejogo JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  NAni kawapotosha wananchi? Kwanini wameupeleka bungeni bila kuwaelewesha wananchi? Kuna nini hawataki wananchi wakijue?
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  huko bungeni hakuna cha kujadili zaidi ya chadema?
   
 11. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hawa tulishawazoea. Mimi nasema tunahitaji Tanganyika yetu na kama hawataki wabaki tu na Zanzibar yao. Watu wachache hawawezi kuwa waamuzi wa mstakabali wetu. Noooo haiwezekani bana. Historia inaweza kutuhukumu.
   
 12. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hawa waheshimiwa wangekuwa na uwezo na mamlaka ya kukifuta CDM wangefanya hivyo leo.
   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wananchi tukipewa nafasi..kama hukushiriki ni wewe mwenyewe!
   
 14. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wee mjnga nini? ni nini kinapotoshwa? ebu taja.
   
 15. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Huyo mbunge Kiiza kiazi kweli, jamaa eti anadai kamati ya katiba ya bunge ilipewa muswaada unaojadiliwa mwezi mmoja ulopita ilihali anajua kuwa walipewa tar 24 tu mwzi wa 10. Tena spika aliwachimba mkwara kwamba bunge halitajadili ule muswaada wa kwanza ulopigwa chini bali huu mpya unaoendelea kujadiliwa sasa. Wakuu, CDM ni chama makini sana wanajua wanachokifanya, na ni kweli kabisa kwamba muswaada huu ulipaswa kujadiliwa mara ya kwanza ili ujadiliwe na wanacnhi kama walivyofanya ule uliletwa kwa kiingereza mwezi aprili
   
 16. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Watakifuta Chama lakini sio wanachama wa Chadema
   
 17. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Hivi kwa nini mwenyezi mungu asiwaondoe duniani wanafiki wanaokiongoza ccm?
   
 18. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  wataliano wameharbu zanzibar. nenda bwawani mida kama hii utawakuta kina mudi wanarembua tu. mafuta ya karafuu noma kweli.
   
 19. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...Tanzania ni Dar es salaam, Dodoma na Zanzibar?!
   
 20. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Kuna ulazima gani kukataa kusomwa kwa mara ya kwanza,wanang'ang'ania kuendelea na mjadala kwa faida ya nani,znzbar watakuja juta baadae Tundu lissu aliongea kwa faida yao wakituliza akil watajua alikuwa na maana gani,watamkumbuka wakati itakuwa to late,waznb wameililia katiba sasa wanapotoka,kiukweli kabisa waznzbar ndio wanaongoza kwakutaka muungano uvunjwe au kwa kutaka serikal 3,kwa hili wawakilishi wa znzbar wanawadanganya wananchi wao,ngoja tuone watajutaaaaaa
   
Loading...