Kwa watu wanaofuatilia siasa za Tz kuna wakati CUF walikuwa wanatumia falsafa ya ngangari na kujifanya wanatetea watu. Kuna watu nchi hii wameteswa na kupata tabu kwa ajili ya CUF. CUF walikuwa...
Shutuma za Sitta dhidi ya Kubenea kwamba sasa kanunuliwa na mafisadi kama alivyozitoa katika kipindi chake katika ITV zimejibiwa na na gazeti hilo wiki hii katika tahariri yake iliyoanzia ukurasa...
Baraza la Wawakilishi(BLW) na Smz Roho ya Zanzibar na moyo wa Znz inawaangalia nyiyi ktk hatma ya Zanzibar na kizazi cha badae.Written by amini // 16/11/2011 // Habari // No comments
ROHO...
Muswada wa Katiba mpya
Waandishi Wetu
Viongozi wa CHADEMA kwenye maandamano
HALI ya kujaribu kupimana ubavu kati ya vyombo vya dola na baadhi ya wanasiasa, wakiwamo wabunge kupitia Chama...
Kwa kuwa wadau wasioridhishwa na mwenendo wa serikali ni wengi na wapo karibia kila kona ya nchi yetu. Kwa uchache tu ni pamoja na wananchi wote kwa ujumla wao, wanafunzi vyuoni, wanaharakati...
Zitto aionya serikali
ASEMA BILA MUAFAKA CHAMA CHAKE KITATAFUTA NJIA MBADALA
Tuesday, 15 November 2011Waandishi Wetu, Dodoma, Dar
WAKATI mjadala wa Muswada wa Sheria ya Kuunda Katiba Mpya...
Miners should spread their risks across countries as well as minerals
Aug 27th 2011 | from the print edition
Juicy profits tempt hungry governments
THE past half-dozen years have been kind to...
Akizungumzia waraka uliosambazwa wa kumpa Rais Jakaya Kikwete siku 100 awe ameachia madaraka, waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha amesema wanaufanyia kazi ili kuwabaini...
BY THE GUARDIAN REPORTER
16th November 2011
President Jakaya Kikwete
President Jakaya Kikwete is expected to attend the 13th ordinary summit of the East Africa Community's (EAC) heads of...
Nimekaa kimya muda mrefu nikiangalia jinsi ambavyo CCM inachezea vichwa vya watanzania wasomi. Wabunge wa CCM kama akina Ole Sendeka wanashindwa kuelewa maoni ya upinzani na kubaki wakijipendekeza...
Naamin katiba mpya siyo tiba ya umaskini wa watanzania bali itakuwa nyenzo mojawapo ya kututoa sehemu moja na kutupeleka sehemu nyingne ambayo naamin itakuwa bora zaidi.
Ninachooka katika mchakato...
Mishahara mipya kwa wabunge ni ujambazi
Evarist Chahali
Uskochi
AWALI, nilitaraji wiki hii ningeendelea na uchambuzi wangu kuhusu changamoto mbalimbali zinazovikabili vyama vyetu vya siasa...
Ktk hali isiyokuwa yakwaida, mkuu huyo wa mkoa alikumbana na dhahma baada ya kutaka kuongea na watu wa sokoni, wakinamama walinyanyua nyanya zao na karoti na kumpiga nazo na yeye kukimbia...
Hivi ni mabalozi wa nchi zipi hao waliosemwa leo asubuhi bungeni wakati mchangiaji wa kwanza alipoanza kuchangia muswada huu wa maswala ya katiba?
Alikuwa analalamika kwamba kuna baadhi ya...
Mara nyingi nimeona kile ambacho watu wengi walio na nafasi ya kufungua na kuangalia mitandao ya tovuti (internet) wanatoa maoni ambayo mara nyingi siyo hasa yale wananchi wanayoyaamini. Kwa...
Hivi ndivyo ilivyo nchi yetu kwa sasa. Ukiangalia yanayoendelea Bungeni utajua ninachokisema. Hakuna tena wanasiasa makini nchini hasa baada ya kujaza Idadi ya wachumia TUMBO, SIFA na VYEO katika...
Katika Maandamano yajao tunatakiwa tujue kuwa watu zaidi ya elfu kumi wanaweza kufa kutoa nafasi ya watu million 42,746,620 ambapo tukiangalia vizuri kama inavyoonekana hapo chini.
MGAWANYO WA...
Ndugu watanzania, mjadala unaoendelea bungeni "muswada wa katiba" nawaambia ya kuwa wabunge wa ccm kupitia bunge wanatuambia kuwa dar-es-salaam, dodoma na zanzibar ndiyo tanzania!!!!!! Maajabu na...
Wanafunzi UDSM wagoma kupinga wenzao kuwekwa ndani.
Hakika tuna OMBWE kubwa la uongozi.
Tunahitaji mabadiliko haraka kuepusha madhara makubwa zaidi kwa siku za usoni.
Iweje kila siku tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.