Mbunge wa NCCR achafua hali ya hewa bungeni kwa kutofautiana na wabunge wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa NCCR achafua hali ya hewa bungeni kwa kutofautiana na wabunge wa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dumelambegu, Nov 16, 2011.

 1. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wakuu,
  Kuna mbunge mmoja sikumbuki vizuri jina lake nadhani anaitwa Christina ametoa mchango wake kuhusu katiba kwa kusema waziwazi kwamba muswada uliowasilishwa na serikali ni mpya na umesomwa kwa mara ya kwanza na siyo mara ya pili kama inavyodaiwa na serikali. Alikuwa anaongea kwa utulivu sana na kueleza bayana kwamba bunge lisidhani kuwa lina mamlaka ya kuamua vyovyote linavyopenda bila kusikiliza sauti za watanzania hata kama ni wachache.

  Kwa wanaJF waliomshuhufia mbunge huyo watupatie details zake tafadhali.
   
 2. L

  Lua JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ni mbunge wa nccr? kama yule wa kike anaitwa AGRIPINA. na c christina.
   
 3. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu. Amenifurahisha sana na nadhani mchango wake umepenya mioyo ya wananchi wengi waliopata fursa ya kumsikia. Sijui kama magamba yamesikia maana mioyo yao siku zote ni migumu.
   
 4. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  What goes around! Comes around! tusuburi tu!
   
 5. M

  Mbuyi Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 13
  Huyu Mama na mimi nimemuona na kwa kweli amenifurahisha sana kwa shule aliyoitoa kwetu sote.

  Ila Magamba kwao ni kama wingu la Shekinah(Zaburi 18:9,97:2) wakati wa safari ya nchi ya ahadi, maana kwa taifa la Mungu('Magwanda') lilikuwa kivuli wakati wa jua kali jangwani na mwanga wakati wa giza ila kwa jeshi la Farao(Magamba) ni giza nene (Kutoka14:1920).

  Shauri yao maana Mungu anaenda kutia uzito safari yao kwa kuharibu matairi ya magari yao(Kutoka14:26-28), si wengine CDM na Watanganyika kwa ujumla wetu) tunasubiri kuwaona wakielea kwenye maji wakiwa miguu juu (Kutoka 14:30) Mungu yu pamoja nasi .

  Bravo Agripina! Peoples power!
   
 6. J

  Jobo JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwani yeye hakutoka kama wenzake!? Anatumia nguvu nyingi bila sababu!
   
 7. JS

  JS JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sasa wangetoka wote nani angesema in plain black and white kuwa wanachofanya sio?? simaanishi kwamba walimchaguaabaki nyuma awe msemaji lakini saa zingine inabidi mtu awe jasiri na kusema yale ambayo yanapingwa na upande wa upinzani. na hiyo inajumuisha kuamua kubaki na kusema.
   
 8. M

  Malova JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  ujasiri ni silaha muhimu. ndio maana mama huyu amesema ni kwasababu anao ujasiri
   
 9. George Kahangwa

  George Kahangwa Verified User

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 539
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kuna waliomkejeli humuhumu JF kwamba haelewi chochote kuhusu katiba mpya. Wananchi waliomchagua wakamwacha Nsanzugwako wa CCM, walijua wanachagua mtu gani. Binafsi namfahamu kama Mama mwenye hekima na jasiri sana.
   
 10. k

  kamimbi Senior Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vita ni mbaya ila mi naombea ije ili tuwe sawa, hatakama wengine tutakufa poa watakao baki wataviambia vizazi vitakavyokuja ni jinsi gani tulikuwa tumebaguliwa na serikali hata tukaamua kutafuta haki yetu bila kujali kumwaga damu.
   
 11. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Huyu Mbunge anaitwa Agripina Buyoya , alipaswa kuwa ametoka jana kuungana na wenzake!!!
  Yeye Pamoja na Moses Mchalo walibaki ndani ya Bunge sambamba na CCM , sasa Katibu Mkuu wa NCCR bw Ruhuza amewapongeza akina Agripina huku akiwapinga akina Kafulila na Mkosamali mali, Je hizo si agenda Mbaya za Jemus Mbatia!!!!

  Inawezekana Mama huyo na Mh Moses Wamesoma alama za Nyakati!!
   
 12. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Tungependa kuona Wabunge wote wa NCCR wanaweka msimamo kama CDM ambapo Viongozi wao wangitisha kamati kuu kama cdm
   
 13. M

  Mfwalamanyambi JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kwa nini mnazitesa nafsi zenu kwa kujadili mambo yanayofanywa na CCM ambayo mnaweza kuyabadilisha ikiwa tu mnayo mioyo ya kutoogopa chochote ili kuleta mabadiliko nchi hii kwa faida yenu na kizazi kijacho?????.
   
 14. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,312
  Trophy Points: 280
  Lugha nyingine zinaudhii wakuu.
  Mtu kaongea ukweli, tena wenye manufaa tu kwa jamii nzima, we unasema kachafua hali hewa, maana yake nini?
  Ukiacha maana ya hilo neno kwamba kutoa hewa chafu, maana ingine yoyote haiwezi kua na postive impact ikiwa neno "uchafuzi" limetumika so tuangalie maneno tunayotumia wakuu.
  Otherwise hata mi numemkubali huyu dada kwa mchango wake!!
   
 15. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Vipi. umeamua kupotosha majina ya watu makusudi au hujui yanavyoandikwa?
  Usahihi wa majina ya watu hawa ni:
  -Agripina Buyogera
  -Moses machali
  -James Mbatia
   
 16. George Kahangwa

  George Kahangwa Verified User

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 539
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kingking, umejiunga na JF leo tarehe 16 November 2011. Ndugu yako King Cobra alijiunga siku sita zilizopita (yawezekana ni wewe mwenyewe, umebadili tu jina) na mission yako/yenu ni moja; mashambulizi kwa NCCR na kuharibu majina ya viongozi na wabunge wa chama hiki.
  angalia ulichoandika kwenye threads ulizoanzisha jana, linganisha na ulicholeta hapa.

  HONGERA KWA KAZI HIYO
   
 17. George Kahangwa

  George Kahangwa Verified User

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 539
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Askofu,
  Huyu jamaa anajiita King Cobra pia, fuatilia post zake uone. Sio kwamba hajui majina yanavyoandikwa. Buyoya ni jina la kirundi (Burundi) anayo hila hapo
   
 18. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Bro, hao watu dawa yao ni kuwaripot tu! Wala wasikutoe povu.
  Tuna ma mods wetu makini sana na wanajua wanachofanya.
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Sihasa,duh!
   
Loading...