Julius Mtatiro,tunahitaji msimamo wako kuhusu muswaada huu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Julius Mtatiro,tunahitaji msimamo wako kuhusu muswaada huu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Magnificent, Nov 16, 2011.

 1. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  nimekuwa nafuatilia mjadala usio na maslahi na taifa unaendeshwa na wabunge wa CCM kwa interest ya chama chao,
  kwa kuutambua mchango wako ktk harakati za kupigania haki,tunahitaji kufahamu kitu kimoja tu hapa,je,msimamo wako ni kama wa wabunge wa chama chako kama tunavyoona michango yao huko bungeni?

  Umekuwa ukipinga kwa nguvu zote chama chako kuitwa CCM B,huoni sasa hali inavyojidhihirisha wazi huko bungeni ktk mjadala unaoendelea?  Nawasilisha wakuu!
   
Loading...