Waziri Kombani na spika wanasema watanzania wote wamewakilishwa ipasavyo kutoa maoni! Binafsi najiuliza ni wangapi hao? Kama ni Dodoma yalipigwa Mabomu na wengi hawakushiriki. Kule zanzibar...
Katika uteuzi wa Rais Jakaya Kikwete, Mkuu wa Wilaya Babati ni Dr. Ian Langiboli, lakini nikiangalia kwenye vyombo vya habari kuhusu matukio ya Wilaya Babati, huwa ninashindwa kuelewa kama Wilaya...
majadiliano ya mwaada wa katiba ulikuwa uishe leo, lakini umeongezewa mda tena. Kama tunavyojua Bunge hili linategemewa kuhitimishwa ijumaa hii. Bado haijajulikana mkataba wa katiba utahitimishwa...
Dalili ya mvua ni mawingu, Wakili la Lema leo amepata pigo baada ya tuhuma dhidi ya Nape alizoziibua kuwa Nape ametangaza ushindi kabla ya hukumu imetupiliwa mbali na Jaji anayesikiliza kesi hiyo...
CCM wanapojisifia wingi wao bungeni katika Tanzani kama hoja ya kwamba hakuna kinachoweza kutokea kwa sababu wanao waungaji mkono wengi nyuma yao, mimi nauliza; kwani katika bunge la Lyibia...
Kiburi cha CCM na maneno ya kashfa yanayotamkwa bungeni juu wa Wabunge na chama cha Chadema yamenifanya nimwombe Mungu kwa nguvu zote atupe maisha marefu tuone jinsi mwisho wa CCM utakavyokuwa...
Jakaya Mrisho Kikwete ni Rais wa Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipokea madaraka toka kwa Benjamin William Mkapa mwaka 2005 hadi wakati huu Tanzania Bara inapotimiza miaka 50 ya uhuru...
Katika mjadala wa bunge unaoendelea kuhusu muswada wa mchakato wa Katiba Mpya, ni dhahiri kuwa wabunge wa CCM wanaogopa kama kutaundwa tume huru ya kukusanya maoni. Tume huru maana yake - yenye...
wadau nashindwa kumwelea Dr faustine ndungulile kama vile hayupo? Hasemi kakaa tu anaendelea na ujenzi kwa mama ndungulile pale wkt wananchi wengine wanakatazwa kujenga.huu mradi wa mji mpya...
Hii ndiyo hali ya Singida kwa miaka 5, tumefanya tathimini kuelekea miaka hamsini ya Uhuru, tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele kwenye ujinga zaidi
HIVI NI VIWANGO VYA UFAULU KATIKA ELIMU...
wadau!
Wenzetu wa nchì jirani wameweza! Wamepiga honi leo kwa sekunde 15 nchi nzima kuanzia saa 6 mchana kupinga udhalilishaji kwa waandishi wa habari..nasi tujitoe kimasomaso ijumaa tupige honi...
Misingi ya amani nikuzingatia nakuheshimu haki za binadamu zikitekelezwa na kutambua hii ni nchi ya vyama vingi navipo kisheria na kikatiba kwa maana hiyo navyenyewe vinahitaji kunadi sera zao,kwa...
Ndugu wapendwa let me salute you once again!
Kumekuwapo na malalamiko kutoka kwa wadau mbalimbali ya kwamba mahakama imekuwa ikiingiliwa sana haswa kwa kipindi cha hivi karibuni, kuhusiana na...
Kuna mengi mbayo jamii ya leo au sisi tuliopitia shule za kawaida hatujafundishwa juu ya historia ya kweli ya Tanganyika na upatikanaji wa uhuru wa nchi hii.
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Anne
Middle Name:
Semamba
Last Name:
Makinda
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Njombe Kusini
Political Party:
CCM...
Wanajamii nimevunjika moyo Hatukuweza kuufanya Mlima Kilimanjaro ushinde kwenye maajabu Mapya ya asili ya Dunia. Akitangaza sehemu zilizoshida mwanzilishi wa Maajabu hayo Bernard Weber huko...
...Leo wakati wa maswali na majibu yakiendelea ghafla KAMANDA LEMA aliingia Bungeni na wabunge wa upinzani wakaanza kupiga meza zao,wakati huo waziri Lazaro Nyalandu alikuwa anajibu swali la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.