Hakuna utafiti unaonyesha kuna watanzania wangapi wanaifahamu katiba !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna utafiti unaonyesha kuna watanzania wangapi wanaifahamu katiba !!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JOB SEEKER, Nov 16, 2011.

 1. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waziri wa katiba na sheria amesema hakuna utafiti wowote uliokwisha fanywa hapa nchi kuonyesha ni idadi gani ya watanzania wanaifahamu katiba.Je ! kama hakuna utafiti wowote,tunawezaje kutengeneza katiba yenye kukidhi mahitaji husika kwa watanzania because no research no arguments
   
Loading...