Kumbe Wabunge wa Upinzani hawawakilishi wananchi Bungeni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Wabunge wa Upinzani hawawakilishi wananchi Bungeni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MANAMBA, Nov 16, 2011.

 1. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa muda mrefu kila nikifuatilia vipindi vya bunge inatokea nakutana na wabunge wa CCM wakiponda hoja za wabunge wa upinzani, kwa mtazamo wangu kuponda hoja ya mtu mwingine si tatizo ila kinachonishangaza na kukera ni pale wapondaji hao wanapojinadi kuwa wao wanawakilisha mawazo ya wapiga kura wao!

  Sasa swali langu ni kama wabunge wa CCM wanajiona kuwa wanawakilisha majimbo yao, iweje wabunge wa upinzani waonekane kama wanajiwakilisha wenyewe na siyo majimbo yao?

  Nadhali kuna haja kwa mheshimiwa spika kukemea hali hii kwa faida ya democrasia ya nchi yetu.
   
Loading...