Huyu Dk Bana katumwa na nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu Dk Bana katumwa na nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MBUFYA, Nov 16, 2011.

 1. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  nasikiliza kipindi cha morning magic kupitia magic FM, namuona huyu doc anaongea utadhani ametumwa vile, analaani kitendo cha chadema kutoka nje, anasema kitendo hicho kina kiuka maadili ya mtanzania na kuvunja sheria za bunge. pia amefunguka zaidi kusema kuwa kumlalamikia spika kuwa anapendelea upande flani ni uongo kwani anafuata sheria za bunge.
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Huyo kama kabudi achana nao kwanza tunahoji hata hizo phd walizipataje labda kwa kudesa wao wanatanguliza ukada zaidi kuliko weledi wa kitaaluma
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hawa jamaa ni kama Palamagamba Kabudi.....
   
 4. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Huyu mzee sijui dk kweli wa phd au ni kama wa mkuu wa nji, mana kilaza sana mzee huyu mganga njaa 2 nae
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,570
  Likes Received: 18,337
  Trophy Points: 280
  Kwa taarifa tuu, Prof. Palamagamba Kabudi, ndie mwanafunzi pekee, wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, aliyewahi kupata GPA ya juu zaidi tangu chuo kikuu cha Dar es Salaam kuanzishwa miaka 50 iliyopita, yeye alipata GPA 4.8 ambayo haikuweza kupatikana tena na mtihani wa mwisho, alifumua A+ 6, A ya kawaida 1 na B+ moja!. Hivyo Ph.D yake ni ya halali!.

  Kupata 1st class ni jambo moja, kuwa na Ph.D ni jambo jingine, lakine kuwa mzuri kwenye field, ni jambo jingine kabisa. Nimrod Mkono, ana pass tuu lakini ndie anaemiliki kampuni kubwa na tajiri kuliko zote za uwakili Tanzania, wakati huyo Kabudi, na 1st Class yake, na Ph.D yake, hajawahi kusimama mahakamani na kushinda kesi yoyote!.

  Prof. Issa Shivji ni mmoja wa mabingwa wa katiba, na ameandika mengi kuhusu katiba ikiwemo ukosoaji wa katiba yetu ya mwaka 1977 na jinsi Muungano ulivyokiuka katiba. Serikali imeepuka kumtumia huyu kama mwelekezi kwa sababu atasema ukweli mchungu, badala yake inamtumia Kabudi ili aendelee kuupaka siagi ule mkate wao wa kila siku!.
   
 6. p

  politiki JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  ukiona hivyo basi ujue anavizia ujumbe wa tume ya katiba kwahiyo anachokifanya ni kujiuza kwa wahusika ili wamsikie basi itakavyofika wakati basi wamwite naye apate kuendeleza njaa zake. anaweza kuwa amesoma lakini hakuelimika. kusema tu chadema wamevunja sheria bila kusema ni sheria gani waliovunjwa ni dalili mbaya kuwa anaweza kuwa amesoma lakini hakuelimika.
   
 7. z

  zakazaka Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo la wafuasi wa chadema wengi bado wajinga wa siasa wao wanavyotaka kila mtu awe chadema, na huwa hawataki kupingwa, kwao hoja ya nguvu badala nguvu ya hoja.
   
 8. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ngoja waje wakujibu wengine, maana mimi nikikujibu huu ugoro wako nitapata ban
   
 9. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huyu dr. bana angeanza kwa kumlaumu spika kwa kutowachukulia hatua wabunge waliotoka nje kama kweli anaamini wamevunja sheria za bunge! na kwa maana yake ni kuwa spika kashindwa kusimamia bunge au yeye ndo ajuaye saaaana sheria za bunge kuliko spika na wabunge!
   
 10. l

  luckman JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Nimemsikia asubuhi,

  Kweli ni masikitiko makubwa juu huyu mpotoshaji!sijui kazaliwa wapi na haya maneno anayasema akijiamini nini.

  Labda nianze kwa kusema, tanzania na hasa katika bunge, hakuna hoja kwa miaka ya hivi karibuni, imepitishwa kwa vigezo vya hoja zilizotolewa na wabunge badala la kelele za kishabiki na kukidhi matakwa yao! Utamaduni upi wa mtanzania anaoueleza, nani hajui utamaduni wa sasa uliojengwa na watawala na kuasi utamaduni wa viongozi wetu waasisi wa nchi! Alienda mbali na kugusia suala la wananchi kuamua juu ya hili, na kweli sisi tutaamua kwani wanachokifanya chadema ni kitenda cha kiungwana kuwasilisha dukuduku lao kwa wananchi, sisi ndo kimbilio lao kwani vyombo husika kama kamati za bunge zimekuwa zikiegamia upande mmoja na hili liko wazi, aliwataka wafanye nini?

  Kaenda mbali zaidi kaongelea suala la hoja kama zinakataliwa au hawapewi nafasi inabidi wamfate speaker na kumueleza hivi huyu jamaa vip? Wamfate mara ngapi na kanuni na taratibu za bunge zinasemaje kuhusu hili, mara ngapi amewapuuza juu ya haya maswala, bunge linaamua mambo kwa hoja, bunge hili nilijualo mimi?sio kelele za ndiyoo!je kama watu ni wachache inakaaje hii?tuna vigezo vya kuamua jambo ndani ya bunge kwa kupima uzito wa hoja hapa??? Mbona usomi unaupaka matope bwana benso bana, mbona unajipunguzia credit zako na uwered wako juu ya kutetea uozo na ushenzi unaofanywa na ccm na speaker wao,

  umeulizwa swali juu ya upendeleo wa speaker na sikuona jambo la msingi ulililo liongea juu ya hili badala yake umekwepa na kuongelea mambo ya ajabu, je ni wangapi wapo kijiweni na hawana elimu hata ya std 7 lakini huu upendeleo wanauona, kama kweli wewe ni mtaalam wa sayansi ya siasa mbona umeshindwa kulisemea hili??

  Wewe ni kada pamoja na unafiki wako kujifanya unatoa maoni na kushauri mambo ya kisiasa nchi, msomi ninayemwamini aliyetukuka na heshima yake itakuwa palepale ni profesa issa shivji, siku zote huyu mzee hamung'unyi jambo na ndo maana serikali hawamtumiii, yeye ndo mtaalam wa sheria na katiba tangu enzi za sokoine na baba wa taifa, je usomi wake umeteteleka wapi hadi nchi ishindwe kumtumia katika kipindi hiki?wanaogopa na kuwatumia watu kama bana wenye mtazamo wa karibu na utetezi wa walanguzi wa nchi yetu.

  Matatizo ya hii nchi yanapigiliwa msumari na wasomi kama hawa, mbona hakuongelea utovu wa nidham wa wabunge wa ssm waliotumia muda wa walipa kodi kuzungumza kukashifu na kuwatukana chadema huku speaker wao akiweka mikono yote miwili kwenye kidevu?hilo hakuliona kuwa na utovu wa nidhamu?tumewatuma waende kufanya mipasho ndani ya jengo wanaliliita tukufu?utukufu wa jengo ni upi hai waliomo ni makafiri, hakuna dhambi mbaya kama kuwadhurum wananchi, kuwatapeli na kuwasaliti wapiga kura!hayo hayaoni anaona la chadema tu. Huyu mtu anatakiwa kutangazwa kuwa moja ya watu hatari wa kisisa za nchi yetu!
   
 11. C

  Campana JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mzee wa REDET huyo
   
 12. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Pasco,

  Tuko pamoja sana katika hili.

  Tiba
   
 13. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,228
  Trophy Points: 280
  Lazma atakua natumia neno ''Nadhani,,," au " I thing,,".

  Hajui maneno mengine zaidi ya hayo.
   
 14. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kanunuliwa tayari
  Njaa mbaya
   
 15. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Banna ndiye atakaye teuliwa kusimamia tume ya kuratibu mchakato wa katiba
   
 16. Shenkalwa

  Shenkalwa JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Afadhali umemueleza vizuri. Siku zote huyu mtu anayeitwa Dr. Bana amekuwa akinipa maswali kichwani kuhusu huo u-dr wake amaupatapataje, maana maongezi yake ya kila mara yanatia shaka kwa kile kilichoko kichwani mwake. Siku zote amekuwa akiongea pumba kuliko kawaida. Ukweli ni kwamba hata wahadhiri wenzake pale mlimani wanamponda sana. Hapa jf unaweza kumlinganisha na akina rejao, faizafoxy, mzee, fiksiman, zakazaka kwa kuwataja wachache. Hawa wanapochangia jambo lolote ndipo unapoelewa kuwa watanganyika wengi bado wana mawazo mgando na kwa kweli kazi kubwa inatakiwa kuwaamsha watu kama hawa.
   
 17. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,793
  Likes Received: 36,806
  Trophy Points: 280
  political immaturity ni tatizo kubwa kwako, shivji ni CDM??
   
 18. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Good analysis mkuu
   
 19. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Magamba kazini!
   
 20. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu wewe mtizamo wako ni upi juu ya sredi hii? Sio unaongea pumba tuu
   
Loading...