Mjadala wa katiba na BBC leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjadala wa katiba na BBC leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGEUZI KWELI, Nov 16, 2011.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Wanaharakati leo BBC watakuwa na mjadala wa katiba ya Tanzania jioni..

  Hebu jaribuni kubeba japo headphone zenu kama wakichukua umeme wao tusikose neno la faraja toka kwa watakaoshiriki..Washiriki hawajajulikana bado, Ila kuna wakenya watatoa maoni yao...

  Let us wait..
  Ambao hawakusikia matangazo haya yanapatikana kwenye hii link: http://www.bbc.co.uk/swahili/audio_console.shtml?programme=swa1530
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ok asante kwa taarifa, nitasikiliza kwa makini sn na nitapost kile kitakachoongelewa
   
 3. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Stella Nyanya anaweza kutaka BBC nao wazuiliwe kutangaza mjadala wa katiba mpya.
   
 4. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Pls muda kuanzia saa ngapi?
   
 5. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunashukuru kwa taaarifa, but mda kamili utakuwa ni saa ngapi???? Tuombe mungu wasije wakaTUNGELEJA!!!!
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0

  bbc kiswahili ipo saa 12.30 jioni pambafu maswali gani haya
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Chadema wasisuse tena kusilikiza bbc ni kwa faida yetu sote tusikilize jamani
   
 8. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  idhaa ya kiswahili, ya kiingereza au kwenye mitandao?
   
 9. PROF. ENG

  PROF. ENG Senior Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni saa ngapi!!
   
 10. PROF. ENG

  PROF. ENG Senior Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuuliza sio ujinga bana..... huna haja kukasirika.
   
 11. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  idhaa ya kiswahili leo jumatano 16/11/11 kupita redio kuanzia 12:30 jioni.
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mtoa mada una hasira BBC wana idhaa nyingi ie swahili au eng na pia ata mida inatofautiana na mahara could be CAT,EAT ETC
  Usiwe na hasira jibu tuu maswali amicably
   
 13. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nyakageni itakua kwenye ya kiwsahili mi najua hvyo
   
 14. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nakachaji kasimu kangu ka mchina kabla Mr. Megawatt hajaondoka na mambo yake ili nisikilize kwa utulivu.
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  microfon chek, chek. safi. ziko poa. chaji nayo iko juu. ahsante mkuu.
   
 16. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kuanzi saa 12:30 jioni, radio one, radio free africa na wenyewe bbc unaweza kuwapata kupitia 101.4 fm
   
 17. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 881
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Hawa BBC ni pro-CCM mno. Msitegemee chochote cha maana.

  Waliwabeba sana kwenye uchaguzi mkuu na kuhalalisha ushindi wao wa mashaka hata kabla ya uchakachuaji.

  Ukweli ni kwamba vyombo kama BBC na CNN vinasikia zaidi upande wa watawala wetu kwa sababu wanakutana na maofisa wao na kuzungumza nao kwa lugha wanayoielewa, yaani English. Chadema na Peoples Power zinazungumza kwa kiswahili ambacho hawa CNN na BBC hawakielewi kabisa.
   
 18. N

  N series Senior Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanx mkuu,umenikumbusha manake hapa mbezi ndo ka ngeleja kamekuja mda huu tena low voltage,ngoja tu nikachomeke katochi changu chenye simu kwenye chaji ili by mda huo tuende sawa
   
 19. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,722
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  tujuze na muda kaka.
   
 20. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Inabidi umpe heshima yake - Jina lake linatanguliwa na Mheshimiwa, na jina la pili linaanza na Ma
   
Loading...