Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

wadau katika harakati za 2015 upande wa magamba baada ya kuona kuwa wamepoteza mvuto mbele ya vijana ambao wanachukua nafasi kubwa ya ushwawishi katika kura.watu ambao wanamwelekeo kutafuta nafasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwananchi Wednesday, 16 November 2011 21:15 Habel Chidawali, Dodoma MBUNGE wa Arusha Mjini Godbless Lema (Chadema) jana alichafua hali ya hewa wakati akiingia katika ukumbi wa bunge baada...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida leo spika ametangaza kuwa hakutakuwa na maswali ya papo kwa papo kwa kuwa waziri mkuu hayupo.ndugu wana jf je hii ni ishara ya kitu gani?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kifaa cha kudhibiti umeme (Reactor) kilichowaka juzi, kimeharibika kwa kiwango kisichoweza kutengenezeka ingawaje tangi la mafuta halikulipuka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BAADHI ya mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini, wanadaiwa kuunda mtandao wa kufadhili shughuli za vyama vya siasa na wanaharakati kwa lengo la kuleta vurugu, ikiwamo kwenye mchakato unaoendelea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Thursday, November 17, 2011, 6:05 Habari kuu, Mtanzania 24 views Add a comment Wamuonya spika makinda Wamtaka aache kuwafuatafuata Wajipanga kuwakaanga wabunge wanaoshabikia muswada Na Khamis...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WEDNESDAY, 16 NOVEMBER 2011 19:35 NEWSROOM WATANZANIA 10 wamekamatwa katika maeneo mbalimbali nchini Somalia, wakituhumiwa kushirikiana na kikundi cha kigaidi cha wanamgambo wa Al-Shabab...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
KINACHOENDELEA ndani ya Bunge la Muungano linalokutana hivi sasa mjini Dodoma kujadili Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011 kimewatia hofu kubwa wananchi kiasi cha wengi kuhoji...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Namwangalia Mh.OLE Sendeka TBC1,hivi ni kweli Wabunge wa CCM wanadhani Watanzania bado ni wa Miaka 70 WASIOJUA nini wanakifanya?Cuf nao wanavuna matunda ya ndoa yao ndo maana wanalalamika.CCM na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
-Fresh interest in ex-BoT governor as EPA probe deadline approaches THISDAY REPORTER Dar es Salaam A TEAM of local investigators is currently in the United States attempting to trace the...
2 Reactions
129 Replies
15K Views
SASA HAUNA HAJA TENA YA KUJIULIZA UTAPATA WAPI BURUDANI YA NGUVU 24/7 BUREE... INAKUTANGAZIA KUTOKA TANZANIA NA KUSIKIKA DUNIA NZIMA NA NDIO RADIO PEKEE AMBAYO HAITUMII FREQUENCY.. UKIWA KAZINI...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tangu bunge limeanza kujadili mswada wa katiba mpya wabunge wamekuwa wakisema ITV wanachafua amani kwa kuruhusu majadiliano ya katiba..na leo mbunge wa Mafia karudia hilo na kumsema Wilfred Masako...
5 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika maswali ya nyongeza ya mh. Mnyika mbunge wa ubungo kwa waziri wa mambo ya ndani kama ifutavyo 1. Polisi walitakiwa kulipwa kiasi cha sh.150,000 kama posho ya kujikimu lakini wanalipwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kikao cha kamati tendaji cha Bavicha kilicho fanyika tarehe 13 na 14 Nov 2011 chini ya mwenyekiti wake John Heche kiliazimia yafuatayo kama jana ilivyotolewa kwenye press CDM makao makuu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wabunge wa CHADEMA wanahitaji kujua kwamba Katiba nzuri itapatikana kwa mchakato utakaofanyika Bungeni si kwenye jukwaa la Katiba kama wanavyofanya wanaharakati. Wananchi tuliowachagua tuna...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Muswada wa Sheria ya Tume ya Katiba uliposomwa kwa mara ya kwanza mnamo mwezi Aprili,ulikumbana na upinzani mkali sana 'nchini' Zanzibar kufikia hadi kuchanwa hadharani.Wazanzibari walidai kuwa...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Kwa muda mrefu sana Rais Kikwete amekuwa vuguvugu, kuna wakati anaonyesha kupiga vita ufisadi na mafisadi lakini haonyeshi kuwashughulikia marafiki zake wanaohusishwa na ufisadi. Najiuliza hivi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
....Kauli tata zinazotolewa na viongozi wakubwa wa serikali zimeendelea,na wakati huu ilikuwa zamu ya Waziri Omari Nundu alipokuwa akiiongea na wafanyakazi wa shirika la reli mkoani KIGOMA...ishu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mimi ni Mtanzania mwenzenu ambaye baada ya kuona mwelekeo wa nchi yetu nimeona ni vema niwakumbushe wana wa Tanzania. Ndugu zangu watanzania, kuna kansa ambayo imetokea, imeota na sasa inaelekea...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wapendwa wanajamiiforum naomba kulifahamu baraza la mawaziri kipidi chote cha Mwl. J.K. Nyerere. Hii ni kwa wale waliopata kulifahamu vizuri. Nawasilisha tafadhali!! Nisaidieni mie ni wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom