The only thing worse than being talked about is not being talked about

Mpanzi

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
785
440
Wakuu, nimekuwa nikifuatilia mjadala wa katiba, CDM inapata publicity ya bure kutoka kwa wana magamba, baada ya muda mfupi CCM itakuwa imepotea kwa sababu haisikiki, kila kona ya nchi ni CDM.
 
Back
Top Bottom