Wasindikizaji wa msafara wa Lema watawanywa na Polisi mkoani Manyara

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,171
3,346
Updates;
Kama nilivyoahidi kuweka mahojiano baina ya Sunrise Radio na G. Lema hatimaye kwa msaada wa wadau mbali mbali nimefanikiwa kuweka mahojiano hayo;

Baada ya kuibuka mkanyiko huo nilifanya mawasiliano na Mh. G. Lema na kunithibitishia ni kweli yupo Dodoma. Wakati nimemaliza kuongea nae SunRise waliongea na Lema na kufanikiwa kudaka mazungumzo yao.

Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh. G. Lema amekamatwa leo hii akiwa njiani kuelekea Dodoma kuhudhuria kikao kinachiendelea cha bunge.

Mazingira yalipolekea kukamatwa yalikuwa hivi:

Wakati akiwa mkoani hapo Machinga na madereva wa boda boda walimtambua na kumzuia ili awasalimie, wakati akiwasalimu alikamatwa na mpaka saizi bado yupo kituo cha polisi Manyara akihojiwa.

Taarifa zisizo rasmi zinasema kuna uwezekano mkubwa ikawa ni fitna ya mkuu wa mkoa Arusha ambaye aliitwa mjinga na Lema jana wakati akiongea na radio ya Sunrise Arusha na kutakiwa kufuta kauli yake na yeye Lema kukataa.

Bado nazidi kufuatilia.
 
Last edited by a moderator:
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh. Godbless Lema alizuiliwa na madereva wa boda boda ya piki piki za biashara akitokea Arusha kuelekea Dodoma kwenye kikao cha Bunge.

Wafanyabiashara hawo walimzuia Lema nakutaka angalau neno lake moja kwaajili ya unyanyaswaji wanao upata kutoka kwa jeshi la police, Lema alisimama na kuongea nao kwa dakika kumi na sita kisha akaongozana nao mpaka kwenye ofisi za chama (Chadema)na kuwapatia bendera za chama kwaajili ya kueneza chama.
Baada ya Lema kuondoka katika maeneo hayo na sasa yupo mjini Dodoma wafanyabiashara hawo wamekamatwa na jeshi la Police kwa kupeperusha bendera za Chadema. Kuna uvumi unasema Lema amekamatwa huu ni uongo mkubwa sana Lema haja kamatwa na tayari kaingia mjini dodoma.

Kuhusu jeshi la police:
Huu ni uonevu wa hali ya juu sana kuzuia watu wasiwasilishi hisia zao pale wanapo ona ni muda muafaka wa kufanya hivyo, tunalaani vikali ukandamizwa huu wa kipuuzi mno na hata mjinga hawezi kuufanya na sijui nitoe jina gani litakaloweza kusimama badala ya mjinga, mungu awatie moyo wa ujasiri wale wote waliyopata misuko suko hii, safari bado ni ndefu na nilazima tusonge na tufike.
 
Kwa hiyo Lema kuongea na wananchi? Na askari wa Mwema walikuwa wanamfuata? very strange!
 
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh. G. Lema amekamatwa leo hii akiwa njiani kuelekea Dodoma kuhudhuria kikao kinachiendelea cha bunge.
Mazingira yalipolekea kukamatwa inasemekana alikuwa akiongea na waendesha boda boda mkoani hapo.
Naomba ieleweke hivyo mengi nitawajuza.

Ilikuwa anawaeleza nini?
 
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh. Godbless Lema alizuiliwa na madereva wa boda boda ya piki piki za biashara akitokea Arusha kuelekea Dodoma kwenye kikao cha Bunge.

Wafanyabiashara hawo walimzuia Lema nakutaka angalau neno lake moja kwaajili ya unyanyaswaji wanao upata kutoka kwa jeshi la police, Lema alisimama na kuongea nao kwa dakika kumi na sita kisha akaongozana nao mpaka kwenye ofisi za chama (Chadema)na kuwapatia bendera za chama kwaajili ya kueneza chama.
Baada ya Lema kuondoka katika maeneo hayo na sasa yupo mjini Dodoma wafanyabiashara hawo wamekamatwa na jeshi la Police kwa kupeperusha bendera za Chadema. Kuna uvumi unasema Lema amekamatwa huu ni uongo mkubwa sana Lema haja kamatwa na tayari kaingia mjini dodoma.

Kuhusu jeshi la police:
Huu ni uonevu wa hali ya juu sana kuzuia watu wasiwasilishi hisia zao pale wanapo ona ni muda muafaka wa kufanya hivyo, tunalaani vikali ukandamizwa huu wa kipuuzi mno na hata mjinga hawezi kuufanya na sijui nitoe jina gani litakaloweza kusimama badala ya mjinga, mungu awatie moyo wa ujasiri wale wote waliyopata misuko suko hii, safari bado ni ndefu na nilazima tusonge na tufike.j
 
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh. G. Lema amekamatwa leo hii akiwa njiani kuelekea Dodoma kuhudhuria kikao kinachiendelea cha bunge.
Mazingira yalipolekea kukamatwa inasemekana alikuwa akiongea na waendesha boda boda mkoani hapo.
Naomba ieleweke hivyo mengi nitawajuza.
Amepelekwa wapi, kuna nini hawa mabwana wa maghamba's?????????Wanamwogopa nini huyu bwana, kama anakwenda Dodoma asiongee na mtu yeyote, awe bubu?????????
 
Huyu jamaa akapimwe akili. Yeye kila siku ni misukosuko tu.
 
Tetesi zina source! Anyway, source ni tetesi.

Ni kweli jana Lema alimchana live RC wa Arusha redioni, nachoona sasa RC na OCD Vs Lema na CDM Arusha. Huyu RC inaonekana ni kama ametumwa kukamilisha mission fulani hapa Arusha na nadhani hali itakuwa mbaya zaidi.
 
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh. Godbless Lema alizuiliwa na madereva wa boda boda ya piki piki za biashara akitokea Arusha kuelekea Dodoma kwenye kikao cha Bunge.

Wafanyabiashara hawo walimzuia Lema nakutaka angalau neno lake moja kwaajili ya unyanyaswaji wanao upata kutoka kwa jeshi la police, Lema alisimama na kuongea nao kwa dakika kumi na sita kisha akaongozana nao mpaka kwenye ofisi za chama (Chadema)na kuwapatia bendera za chama kwaajili ya kueneza chama.
Baada ya Lema kuondoka katika maeneo hayo na sasa yupo mjini Dodoma wafanyabiashara hawo wamekamatwa na jeshi la Police kwa kupeperusha bendera za Chadema. Kuna uvumi unasema Lema amekamatwa huu ni uongo mkubwa sana Lema haja kamatwa na tayari kaingia mjini dodoma.

Kuhusu jeshi la police:

Huu ni uonevu wa hali ya juu sana kuzuia watu wasiwasilishi hisia zao pale wanapo ona ni muda muafaka wa kufanya hivyo, tunalaani vikali ukandamizwa huu wa kipuuzi mno na hata mjinga hawezi kuufanya na sijui nitoe jina gani litakaloweza kusimama badala ya mjinga, mungu awatie moyo wa ujasiri wale wote waliyopata misuko suko hii, safari bado ni ndefu na nilazima tusonge na tufike.
Hizo ndio habari za uhakika kuhusu mpambanaji wetu Mhs Lema, yuko Domdom! Ahsante kwa taarifa mkuu!
 
Teteteteteeeeee! Mlio na ndugu polisi poleni sana. Muwaonee huruma hao ndugu zenu polisi maana wanvyotumika sidhani hata kama wana muda hata wa kulea familia zao. Khaaaaaaaaa! Acheni tu. Sidhani kama ntakuja mruhusu ndugu yangu yeyote ajiunge na hii kazi ya kijinga.
 
Back
Top Bottom