Biz2geza
Senior Member
- Oct 12, 2011
- 117
- 20
Wadau hili la shibuda kwenda kumpokea Kikwete limekaaje?hili nao nafikiri ni Gamba lingine.
View attachment 41723

Mchungaji msigwa pia alimpokea Rais hapa Iringa Last week
Kwanza tufahamu alimpokea wapi na Rais alikuwa na shughuli gani hapo. Kama safari ilikuwa ya Kiserikali ni sawa kabisa. Alimpokea kama Rais wa nchi. Mtu akishakuwa Rais, ni wa Watanzania wote bila kujali itikadi yake kwa maana hiyo Shibuda yuko sawa kampokea Rais. Labda kama Mhe. Rais angekuwa kwenye shughuli za kuimarisha chama chake ndio ingekuwa tatizo kwa Mhe. Shibuda kushiriki katika shughuli hiyo.
Hakuna jipya. It is expected.

Lakini shibuda hakumpokea JK Maswa.......hapo ni Dodoma na ilikuwa shughuli ya CCM yeye kafikaje?