Mjadala kuhusu katiba mpya na meza ya duwara Dw redio

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
Sikiliza majadiliana ktk redio ya ujeruman CLICK PLAY HAPO CHINI:

[JFMP3]http://radio-download.dw.de/Events/dwelle/dira/mp3/kis/7512792B_1.mp3[/JFMP3]
 
Pls Tujuze muda wa kuanza mjadala huo ili niandae karedio kangu ka mkulima
 
Nimesikiliza kwa makini kabisa meza ya duara na kubwa mno ambalo hata mimi naona ni mapungufu makubwa yaliyofanyika ni KUTOPELEKWA KWA WANANCHI KUJADILIWA KABLA YA KUPELEKWA BUNGENI BAADA YA KUTAFSIRIWA KWA KISWAHILI!

Issue ilikuwa wananchi pamoja na mapungufu mengine yaliyomo kwenye mswada wasingeweza kujadili na kutoa maoni yao wakati umeandikwa kwa kiingereza hivyo baada ya kufanya hivyo ulitakiwa kurudishwa kwao kwanza!
 
Pls Tujuze muda wa kuanza mjadala huo ili niandae karedio kangu ka mkulima
 
Pls Tujuze muda wa kuanza mjadala huo ili niandae karedio kangu ka mkulima
 
Back
Top Bottom