CHADEMA wakionana na kikwete Kushiney | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wakionana na kikwete Kushiney

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CUF Ngangari, Nov 23, 2011.

 1. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeomba kukutana na kikwete kwa nia ya kuzungumzia mabadiliko ya mswada uliopitishwa juu ya uundaji kamati ya kukusanya maoni kwa wanainchi, huku wakiwa wamesahau kuwa walíisha wahi kutoka ndani ya bunge kwa madai eti hawatambui mchakato uliomuweka madarakani, yaani ni sawa na kusema "hawamtambui Rais" Leo mnajipeleka wenyewe bila kuitwa, wameshindwa chadema kutambua kuwa lugha wanayoisikia CCM, Kisiasa katika hili wamèfeli wao ndio walikuwa wanasema kuwa hawawezi kukaa meza moja na CCM Leo mnamuomba Raisi mkutane? mtambue hata CUF hawakuomba kukutana kukutana na CCM hata siku moja ila walitambua Lugha wanayoisikia CCM ni Maandamano yasiyo na kibali, ndio LUgha CCM wanayoisikia, wenyewe utawasikia njooni tuzungumze, kwa Chadema kujipeleka kwa kikwete mmejiuza bei sawa na bure, kwa kufanya hivyo mmetufadhaisha sana.
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Vipi Mtatiro naona anaikuza sana cuf kwa kuwaelekeza wabunge wake nini cha kutetea huku bara.

  mtatiro aje JF kuna mambo mengi twataka atufafanulie,
   
 3. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Narrow interpretation and analysis, kuwa great thinker basi kiana chalii wangu!
   
 4. k

  kiloni JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Eleza vizuri watakwishaje?
  CUF walitaka madaraka sasa wamepata maslahi ya taifa na wananchi siyo kipaumbele kwao. Usilinganishe CUF mke wa CCM na CDM chama dume TZ
   
 5. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Unatumia miguu kufikiri ? chadema walisema hawatambui uhalali wa mchakato wa uchaguzi, na hawakusema hawamtambui rais kwa mjibu wa katiba iliyopo rais akisha tangazwa hakuna hanayeweza kumpinga
   
 6. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,338
  Trophy Points: 280
  Hivi CUF Ngangari ni mtu au Chama? Inamaana hichi kilichoandikwa hapa ndio mwisho wa kufikiri wa CUF yooote? Kama ni hivyo msiba mkubwa upo mbele ya CUF. Kwa nini usiseme wewe ni Maaalim ama hata ni Lipumba?
   
 7. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SIDHANI KAMA KITENDO CHA WABUNGE WA CDM KUTOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE WAKTI WA HOTUBA YA RAIS ILIMAANUSHA KUTOMTAMBUA!! INGEMANIISHA HAYO WASINGEWAHI KUSHIRIKI VIKAO VYA BUNGE WALA ZILE ZA SERIKALI ZA MITAA. NLICHOELEWA KUHUSU ULE MTOKO NI KUONYESHA HISIA ZAO KWA SERIKALI KUHUSU FRAUD KATIKA UCHAGUZI!! NAFIKIRI CHADEMA WAMEKUWA WAUNGWANA SANA!! MAANA MARA BAADA YA UCHAGUZI Dr. SLAA ANGETANGAZA HAMTAMBUI RAIS PASINGETOSHA!! ccm has to be grateful for that!
   
 8. H

  HAKI bin AMANI Senior Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ngangari ni maalim aliyehakikisha anakuwa ngangari hadi cuf ikaolewa na ccm kwa ndoa ya mkeka (mtafuta cha uvunguni sharti...............) sasa kimyaaaaaaa. Wapi tena ngangari. Bwana akisema neno utasikia mke, "naunga mkono hoja mia kwa mia". ndoa ya mkeka taaaaam bwana.

   
 9. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,319
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Zamani zile neno CUF Ngangari kabla ya ndoa ilikuwa inaonyesha kukomaa kweli kweli. Ila kwa kweli sasa hivi cuf ni laiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiini kabisa
   
 10. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa Cuf akili yao Pusi sana,tunakutana na rais,siyo Ccm.wao ndiyo walikutana na Ccm!
   
 11. z

  zamlock JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  wao walipinga mbinu iliyotumika kumweka madarakani kikwete siyo kutomtambua kuwa siyo rahisi wakati katiba yetu inasema mtu akishatangazwa kuwa ni raisi akuna kuhoji basi mnatakiwa kumtambua kama raisi wenu kwisha na hilo wanaijua na wao walitoka nje kupinga njia iliyotumika kumpeleka kikwete ikulu.
   
 12. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Una uhakika na uyasemayo? Unakumbuka rais alipolihutubia bunge kwa mara ya kwanza CDM walitoka nje kwa madai ya kutomtambua ilhali alikuwa ameshatangazwa na kuapishwa kwa mujibu wa katiba? Na jee CDM walishawah kufuta hyo kauli ya kutomtambua rais? Na wanaposema wanaenda kwa rais ni yupi? Huyu huyu wasiyemtambua au kuna mwingine?Think about it
   
 13. d

  dguyana JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tofautisha kati ya Raisi na CCM. Sio unakurupuka wewe.
   
 14. z

  zakazaka Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa chadema wanatembea na lebo ya bei nyuma ya migongo yao, usipate tabu kikwete waambie wageuke utaona bei yao, wamejileta wenyewe hao kwa njaa zao, thamani yao ni ndogo mno.
   
 15. s

  sawabho JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Nyie wote ni vyama vya upinzani, kwa nini mnajipinzani wenyewe kwa wenyewe? Kwa tabia na mtindo huu, nyie wote mtakuwa kushiney muda si mrefu. Mmeshindwa kutambua adui yenu.
  [h=2][/h]
   
 16. m

  mkweli1961 Senior Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Wewe hujui hata kinachoendelea sasa. Unganisha haya matatu utapata jibu Chadema kumwona Rais +Tamko la Vyombo nya Habari +Maandamano ya Wanaharakati=JK kutokusaini mswada ule na kuurudisha Bungeni kwa majadiliano zaidi au kusaini na kurudishwa bungeni kwa marekebisho zaidi. Kwahiyo Chadema wanakwenda kumwona mtanzania mwenzao ikulu ili kumwelewesha kwamba wabunge wake pamoja na CUF wamemwingiza mkenge. Hebu kumbuka sheria ya matumizi katika uchagizi ilikuwaje ilipitishwa lakini ilirudishwa bungeni kwa marekebisho
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  usijaribu hata kidogo kufananisha kafu na cdm. Yaani usijaribu tena!
   
 18. P

  Papushka Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio miguu, nafikiri anatumia masaburi kufikiri.
  sishangai lakini maana fikra za wanandoa hufanana, so huo upotoshaji wa magamba umeingia kwenye vichwa vya wana ngangari baada ya ndoa yao...
   
 19. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Vp Mimba yako imekua kiasi gani maana najua karibu unajifungua wew Cuf Ngangari
   
 20. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Wajinga kama nyinyi kwa nini msifanye juhudi ya kujielimisha ktk mambo madogo kabla hamjabandika upupu wenu hapa?
   
Loading...