tatizo la siasa mavyuoni ni pale zinapokuwa zinafanywa na wetu wenye matatizo na uelewa wa mambo,mob thinking ndo chanzo cha siasa kufutwa mfn utakuta pale mlimani wanagoma then wanatoa ultimatum kuwa rais aje chuoni ndani ya masaa 36,sasa si utoto huo,siasa zimekuwa pia zikitumika vibaya na vyama vya siasa hii ni kuanzia ccm na cdm,wanafunzi wanawekeza nguvu kwenye siasa kutafuta umaarufu baada ya kumaliza chuo,hii si sawa na hakuna uhuru usio na mipaka,mi nimemaliza udsm mwaka huu,kwa kweli siasa za vyuoni ni utoto mtupu,na sehemu kubwa waathirika wamekuwa ni watoto wa maskini kwani kila mgomo ukitokea na chuo kikafungwa,wanaoshindwa kurudi asilimia mia ni watoto wa maskini,wale ring leaders wanaendelea na shule kwa sababu ya backup ya siasa za vyama vya cdm na ccm.nashauri wanafunzi wafanya analysisi ya kutosha kabla ya kukoma na kuangalia realism ya madai na shida zao.sio kila madai yao yanaweza kutatuliwa,mengine ni this how we are,and we should accept how we are,failure to that familia za watoto maskini hazitapata kile wanachotaka kukipata vyuoni.