CCM: Ni Nani aliye Msafi Aanze Kumtupia Jiwe Lowassa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM: Ni Nani aliye Msafi Aanze Kumtupia Jiwe Lowassa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Polonium210, Nov 24, 2011.

 1. Polonium210

  Polonium210 Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natambua kwamba Lowasa Ni Fisadi kwa maana hakuna aliye msafi ndani ya CCM. Nimefatilia Sarakasi za Cheusi Chekundu zinazochezwa na CCM kujivua gamba na Namna ambavyo akina Nape wanavyojaribu kutuaminisha kwamba Wakimfukuza Lowasa na Chenge basi CCM kitakuwa ni Chama safi machoni mwa Watanzania na kwamba sasa wananchi watakipokea tena na kukipa Free Pass ya Kutawala Nchii hii kwa miaka mingi Ijayo. Well Yeyote anayeamini kwamba Kuondoka kwa Lowasa kutakifanya CCM kuwa Chama Safi kisicholea Ufisadi huyo sina jina lingine la kumwita isipokuwa ni ****. Ningependa kuuliza maswali yafuatayo

  1. Nani alikuwa AG wakati Serikali ina sign Mkataba wa Buzwagi? Yuko wapi huyu Mtu
  2. Ni nani aliyesema Richmond ni Safi haina Tatizo? Yuko wapi huyu mtu
  3. Ni akina nani waliounda Mtandao Ulioiba Pesa Benki kuu kugharimia JK awe Rais 2005? Wako wapi hawa wanafanya nini?
  4. Ni nani aliyesign Mikataba ya IPTL? Yuko wapi huyu?

  Kinachoendelea Dodoma ni mazingaombwe na Sarakasi za lile Kundi la Kimafia ambapo hapa kwetu limesajiliwa kama Chama cha Siasa kwa jina la CCM
   
Loading...