Miaka hamsini ya uhuru pschiatric unit zetu hazina Lithium Carbonate | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka hamsini ya uhuru pschiatric unit zetu hazina Lithium Carbonate

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kelvin X, Nov 24, 2011.

 1. Kelvin X

  Kelvin X JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 180
  Ndugu zangu baada ya utafiti nilioufanya nimesikitika kwamba kuna tatizo la msingi kwenye system yetu ya afya; nimegundua dawa muhimu sana kwa wagonjwa wa akili specificaly wale wenye affective disorder (mania), wanaishia kuwa vichaa kabisa kutokana na kukoa dose ya Lithium carbonate ambayo ni very effective kwa huu ugonjwa....

  Wenzetu Kenya na Uganda wanazo toka siku nyingi. Wizara tafathali jitahidini wagonjwa wetu waweze pata hii dawa hapa nchini kwa bei rahisi, mtoto wangu anaugua toka mwaka juzi na uwezo wakufuata dawa Nairobi kila mwezi sina.
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280

  pole mkuu!! katika suala zima la afya ! hapa siwezi kuitetea serikali yangu...
   
 3. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Dah pole sana kelvin x! Na bado kwenye upande wa magonjwa ya sikio sasa! Wataalamu Tanzania nzima hawafiki 10.Na kati yao hao 10,3 wamestaafu! Msongamano ni mkubwa Muhimbili. Pale serikali imepaequip na vifaa vyote..tena very sophisticated. Lakini kweli itakuwa huduma bora, au bora huduma..?!
   
 4. Kelvin X

  Kelvin X JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 180
  asante mkuu natumai kuna watu wa wizara wanapita humu pengine wataona na kuchukua hatua
   
 5. C

  Claxane Senior Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna maabara ya kumonitor level ya lithium reagent ni gali kwa walala hoi
   
 6. Kelvin X

  Kelvin X JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 180
  ni kweli trachoma. najua hii dawa inaitaji monitoring coz therapeutic window yake ni ndogo ila jamani hata pale mirembe a consultant pschiatric hosp washindwe monitoring? sithani, i think ni luck of committment na choices
   
 7. Kelvin X

  Kelvin X JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 180
  claxen uganda na sisi nani maskini zaidi
   
 8. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni bora kitu kiwepo ughali utakuja bahadae!
   
 9. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Miaka hamsini ya Uhuru Hospital hazina dawa kuna majengo tu, wagonjwa watatu kitanda kimmoja.
   
Loading...