Hoja ya CHADEMA kuhusu katiba yachakachuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja ya CHADEMA kuhusu katiba yachakachuliwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Izack Mwanahapa, Nov 24, 2011.

 1. Izack Mwanahapa

  Izack Mwanahapa JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 497
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kimsingi watu wanapounda kamati ndogo ya kushughulikia jambo fulani huwa na malengo maalum, na kamati hiyo inatakiwa kuwa huru ili kufanya kazi yake kwa ufasaha. Hatuya ya kamati kuu ya ccm kumshauri kikwete kukutana na vyama vyote vya siasa imelenga kudhoofisha hoja ya Chadema kwani kama tunavyofahamu vipo vyama vinavyounga mkono mswada wa katiba vikiwemo CUF na TLP. Kama kweli vyama vyote vya upinzani vitakutana na rais tutegemee vichwa vya habari hivi hapa:

  1. "Wapinzani wakaangana wao kwa wao"
  2. "Mswada wa katiba kusainiwa kama kawaida; Ni baada ya wapinzani kukinzana"
  3. Wapinzani watofautiana hoja ya katiba"
   
 2. Sn2139

  Sn2139 JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 827
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Pendekezo la Nec litatekelezwaje wakati tayari Rweyemam alikwishawajibu CDM kuwa Rais amekubali kukutana nao? Lakini vilevile CDM wanatekeleza makubaliano ya Nec yao, je vyama vingine vimefanya lini vikao na kufikia maamuzi hayo? Je vyama vingine vimeomba kukutana na Rais au vyenyewe vinaamuliwa maamuzi yao na Nec ya CCM?

  Rais hawezi kubadili uamuzi wake aliokwisha ufanya hadi sasa wa kuwaalika CDM na kukiri kuwa hilo ni jambo jema.
   
 3. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  itakua ni ajabu tena ya karne kwa rais kukubaliana na NEC na pia wanaojiita wapinzanzani CUF,TLP, UDP watakua wamejidhalilisha kukubali mwaliko usiowahusu, waliunga mkono hoja leo wanaenda kufanya nn?

  Maoni yangu wawaache wanaume wakaongee wao watapewa maelekezo, NCCR sina tatizo nao ni kidume kinachoibukia na kimsingi madai yao na cdm hayaachani sana wanaweza wakashiriki wakawa ndimu kwenye kachumbari ili JK ale vizuri.
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  nikisema ccm mataahira mods msinipige ban,nasubiri na bakwata nao wadai kuhusishwa,.
   
 5. Meking

  Meking JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kama hoja inahusu katiba ya nchi sijui Chadema wanaogopa nini, kama ni upinzani bungeni hawapo peke yao.
  Nashawishika kuamini kuwa Chadema wanalazimisha kuolewa mke wa pili, nyumba ndogo au kuwa "Ccm C", nashawishika...
   
 6. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkubwa Izack umeonambali, kama hayo yatataokea kama unavyoona basi hivyo vichwa vya habari tajwa tuvitarajie... Nec Nec Nec.. sijui wanataka nn hawa watu
   
 7. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalia hiyo avatar yako. Hujapata jibu bado
   
 8. N

  NIPENDEMIMI Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunajua mkweli ni nani na mnafiki ni yupi so tunasubiri chadema wanasema nini!tushaona cuf hakuna kitu, wanaharakati hakuna kitu, sasa ni chadema na nccr wabunge wao wawili!
   
 9. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mkuu umenena kuhusiana na hili Unajua kiufupi TLP na CUF ni CCM haohao ila wanafanya kazi kwa kivuli cha upinzani, na hili limepangwa kwasababu wanaamini kama JK hiyo siku atakuwa katika hali ya kawaida kiakiri "Sound minded" basi ataelimishwa na kuelewa hata kama anajifanya kutokuelewa kwamba mchakato wa katiba mpya unachezewa kwa kigezo cha uwingi wa wabunge wa CCM
   
Loading...