Vyama vingine mko wapi kufanya haya?

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Kampuni ya Phils International imefanya presentation kwenye mkutano wa halmashauri kuu ya Taifa ya CCM kuhusiana kujenga ukumbi mpya (mkubwa na wa kisasa) wa mikutano ya ccm

My take : Wakati CCM inayafanya haya vyama vingine mko wapi angalau na nyie kuanza kujenga ofisi zenu zionekane kwenye mandhari ya kisasa yaendanayo na hadhi za vyama vyenu ?.
 
CCM watajenga kwa kutumia fedha zetu walipa kodi si fedha za chama. Kwa hiyo usifananishwe uwezo wa kifedha wa vyama vingine ambavyo vinajiendesha kwa kutumia michango ya wanachamam wao na uwezo wa ccm ambao unatokana na wizi wa fedha za wananchi.
 
Mtoa mada kweli hamnazo, mmetumia pesa zetu na government resources tangu enzi za TANU mpaka leo CCM. Hamna cha kujivunia,
 
natabiri kuwa kwa watz hawa ninao waona,na kwa ccm hii ninayoiona,ccm itatawala milele.
 
Kampuni ya Phils International imefanya presentation kwenye mkutano wa halmashauri kuu ya Taifa ya CCM kuhusiana kujenga ukumbi mpya (mkubwa na wa kisasa) wa mikutano ya ccm

My take : Wakati CCM inayafanya haya vyama vingine mko wapi angalau na nyie kuanza kujenga ofisi zenu zionekane kwenye mandhari ya kisasa yaendanayo na hadhi za vyama vyenu ?.

Hapo upo wapi mkuu?
Wenzenu wanapigania namna ya kumwondoa mtanzania kutoka kwenye lindi la umasikini, ccm wanajenga majengo ya kifahari.
Na wewe bila aibu yoyote unatoka hadharani kukenua kenua meno. Wewe unadhani wametoa wapi hiyo hela?

Mungu msamehe huyu mja wako, kwani hajui anenalo wala atendalo.
 
Waache wajenge tu, siku wakiondoka madarakani rasilimali zetu zote zitarudi kwetu. Just a matter of time.
 
Duh! wewe uliyeleta hii post umenisikitisha sana, anyway let me leave your post before sijasunda something hapa. AMAUTI
 
CCM watajenga kwa kutumia fedha zetu walipa kodi si fedha za chama. Kwa hiyo usifananishwe uwezo wa kifedha wa vyama vingine ambavyo vinajiendesha kwa kutumia michango ya wanachamam wao na uwezo wa ccm ambao unatokana na wizi wa fedha za wananchi.

FAILED. Wenzako wanjenga kwa pesa za wanachama wao, wafadhili pamoja na ruzuku. Na nyie wengine km cdm mfanye hivyo, kale ka ofisi ka kinondoni pale sijui mnasema makao makuu kanatia aibu sana

Duh! wewe uliyeleta hii post umenisikitisha sana, anyway let me leave your post before sijasunda something hapa. AMAUTI

FAILED. Hakuna kitu hapa badilisheni muonekano wa ofisi zenu , mfuateni Thabodo awasaidie basi km kawaida yenu

Waache wajenge tu, siku wakiondoka madarakani rasilimali zetu zote zitarudi kwetu. Just a matter of time.

FAILED. Wanajenga kwa pesa zao za chama zitarudi wapi tena ? chemsha bongo badilisheni ofisi zenu
 
Hapo upo wapi mkuu?
Wenzenu wanapigania namna ya kumwondoa mtanzania kutoka kwenye lindi la umasikini, ccm wanajenga majengo ya kifahari.
Na wewe bila aibu yoyote unatoka hadharani kukenua kenua meno. Wewe unadhani wametoa wapi hiyo hela?

Mungu msamehe huyu mja wako, kwani hajui anenalo wala atendalo.

Aisee ww wafikiri kwa kutumia masaburi kweli. Nani alikuambia umaskini unaondolewa kwa kuwatembeza watu barabarani badala yakuwaachia wakafanye shughuli zao za maendeleo?. Mnaongeza umaskini nyie na kumfanya mtanzania aendelee kuwa maskini.
 
Kampuni ya Phils International imefanya presentation kwenye mkutano wa halmashauri kuu ya Taifa ya CCM kuhusiana kujenga ukumbi mpya (mkubwa na wa kisasa) wa mikutano ya ccm

My take : Wakati CCM inayafanya haya vyama vingine mko wapi angalau na nyie kuanza kujenga ofisi zenu zionekane kwenye mandhari ya kisasa yaendanayo na hadhi za vyama vyenu ?.
We mjinga, matatizo ya Tanzania hayatatatuliwa na kujenga ofisi za vyama. Una jina kubwa lakini mawazo yako uharo mtupu.
 
Aisee ww wafikiri kwa kutumia masaburi kweli. Nani alikuambia umaskini unaondolewa kwa kuwatembeza watu barabarani badala yakuwaachia wakafanye shughuli zao za maendeleo?. Mnaongeza umaskini nyie na kumfanya mtanzania aendelee kuwa maskini.
We kiwavi ndie uliyeleta uharo wako hapa, unapopewa majibu unaleta uharo mwingine we upoje lakini? Si ujifie tu kupunguza matatizo!
 
RATED: CRAP
A%20S%20embarassed.gif
 
Back
Top Bottom