Katika tamko hilo lililosainiwa na Nape Nnauye, CCM imepinga ongezeko hilo na hasa sababu iliyotolewa na Spika Makinda.
Kwa taarifa zaidi fungua hapa http://www.mjengwablog.com
Kwa mambo yanavyoendelea sasa hivi hakuna ubishi kuwa CCM imeshakufa kinachosubiriwa ni mazishi tuu. Ushaidi wa hili ni haya yafuatayo:
Hakiko tena kwa maslai ya Watanzania kwa kuwa hali...
Democratic political parties are crucial in linking civil society to political society, in checking the power of ruling parties and putting forward viable policy alternatives. Elections are the...
Zitto, nilikuangalia sana kwa muda wakati wa kipindi cha Mlimani TV, ukiwa na mwenyeji wako Hamis Damu Mbaya jana! Kwa hakika kama tungekuwa na wabunge wenye mtizamo kama wako angalia robo ya...
Wanamuziki wamkumbuka Brig Gen Moses Nnauye Na John Kitime
Mzee Nnauye alikuwa mwanamuziki mzuri sana na alitumia sana muziki katika harakati za kupigania uhuru. Alianzisha na kuendeleza...
Monday, 12 December 2011 20:37
Hawa Mathias, Mbeya
MWENYEKITI wa Kijiji wilayani Mbarali Mkoa wa Mbeya, (jina linahifadhiwa) ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kuchoma moto gari la Ofisa...
Viongozi wengi wa ccm akiwep jk na wapiga makofi na vigelegele bungeni(a.k.a wazee wa ndioooo!)walitegemea 2ngekuwa 2meshawakimbiza kwa mawe kwa vtendo vyao wanavyotenda lkn sivyo.
Wanajamii Nawasalim,
I would like to share with you the link below so tha you can have a look and comment. Why do you think this is the case?
Soon after I finished reading the thread, I went...
Hospitali ya mkoa Ruvuma wodi ya wajawazito uwezo wake ni vitanda 70, kuna kina mama zaidi ya 200 wanalala nje, ndani hapatoshi na mvua ikinyesha wananyeshewa, jiko dogo wanapika nje, wengi...
Zitto yuko Live Mlimani TV now, huenda ameanza tangu zaa mbili unusu, hadi sasa amekuwa akizungumzia swala la posho za wabunge na kusema lazima wabunge wawe wa kwanza kupinga sitting allowances...
Upinzani dhidi ya nyongeza ya posho za vikao vya wabunge, umechukua sura mpya, baada ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, kuibuka na madai mapya akiitaka serikali kuwaamuru...
Huyu Mzee namkubali sana katika kuongea ukweli isipokuwa upinzani huo unatakiwa aufanye akiiwa nje ya chama chake vinginevyo atakuwa anatwanga maji kwenye kinu
Namshauli atoke nje ya chama...
Sema tu niko na aleji na TBC sijui hata alikuwa anaongea nini. Karibuni niko natupia Kili Bariiiid. Mdogomdogo mwendo wa kobe na bendi moja ya Bakulutu. Karibuni sana.
Jamani wanaJF ni kwamba biashara yote ya dhahabu inafanyika kwa sarafu ya US DOLLAR.Maexpert wote wanalipwa kwa US D lakini wazawa ambao ni watanzania wanalipa kwa thamani ya TZ SHILLINGs ila...
Najua wapo waliokerwa hasa na dhana kuwa miaka "hamsini" haihusiani na "Tanzania" wala "Tanzania Bara" bali yanahusiana na "Tanganyika". Hawa walipenda maadhimisho yaitwe kwa haki kabisa kuwa ni...
Kuna habari kuwa Marehemu Mzee Daudi Mwakawago (R.I.P) alikuwa na report nzito ya tuhuma ambazo angezitoa kwa mwenyekiti wa CCM Mzee Mkapa JK asingekuwa raisi wa TZ, amenukuliwa mzee wa umvi EL...
Jamani
pamoja na uhuni wa spika ila upinzani umenishtua sana sana..sakata la posho kila mtu amejua
bado awajaanza kupewa kumbe wameshatumia na mbaya zaidi zingine ziko chooni
loh aikaeli/lema...
Kwa matamshi yake kuwa wanaopinga Posho ni madomokaya na hiyo ikiwa ndiyo sera ya CDM, Sasa CDM wanaweza kumfukuza shibuda. Yupo nje ya bunge anapinga sera za chama chake, wanaweza kumwajibisha...
Kwenye sherehe hizo pamoja na kutunuku Msekwa na Makinda wengi wamejiuliza sababu za kutoswa kwa ‘Spika wa Bunge la Kasi na Viwango', Samuel Sitta.
Baadhi ya wanasiasa wazoefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.