Mnyika, Lema, Mbowe mnasaini laki mbili mnakuja mtaani kudanganya wananchi?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Jamani
pamoja na uhuni wa spika ila upinzani umenishtua sana sana..sakata la posho kila mtu amejua
bado awajaanza kupewa kumbe wameshatumia na mbaya zaidi zingine ziko chooni
loh aikaeli/lema /mnyika jamani mnasaini kabisa lakimbili alafu watanzania mtaani mnakuja
kuwatembeza wafe wapigwe mabomu loh

miaka 50 ya utapeli
 
Kwa hiyo unashauli nini?
 
Ubongo wa namna yako ni mzigo. Kwa akili yako unaona umeandika kitu cha maana saaana kwa kuwa tu Faiza Foxy ataunga mkono. Huo ni ufukunyuku usio na mashiko, posho zikisuswa zinarudi kwa mafisadi kwa hiyo sioni tija ya wewe kutafuta sifa ya kujifanya unawashutumu kwa kuchukua. Kwa hiyo unamlaani aliyepokea badala ya kumkemea aliyetoa na unataka kuungwa mkono na wanaume wenye akili zao. Subiri waje vibaraka wenzio
 
najua ccm kwa posho hawawezekani. wanatamani kila mmoja apokee sh million 10 kwa siku.
kwa hivyo naamini sasa wanapokea laki 2 badala ya 70 elf.
lkn jee hawa wa chadema wanapokea sh ngapi? au 70 elf au chini ya hapo ?

Hongera kwa kutoka kwenye Ban!

wafuasi wa CDM ni watu wenye siasa kali na mtazamo wa kimageuzi ya kweli. Ila hao viongozi wa CDM ni meli ya wajanja! Haijatokea duniani kwa mpinzani kujadilian sera zake za ubishi na mtawala aliye madarakani. Kitendo cha slaa, cha kunegotiate na viongozi wa ccm kuhusu msimamo wa CDM wa katiba ni cha kisaliti. Ndio maana CDM mpaka leo wapo kimyaaa kuhusu katiba.

Pale Slaa ilibidi ashikilie uzi wake ule ule wa kuamndamana mpaka kieleweke, lakini aliangusha uso na hivyo katiba itakuwa ya kijanja janja kama vile ile ya 1947!
 
najua ccm kwa posho hawawezekani. wanatamani kila mmoja apokee sh million 10 kwa siku.
kwa hivyo naamini sasa wanapokea laki 2 badala ya 70 elf.
lkn jee hawa wa chadema wanapokea sh ngapi? au 70 elf au chini ya hapo ?

Bado hujapona na hutapona kamwe kitu sugu hiyo waambie wakupeleke india ukatesiti zali,malaria ni noma
 
mambo ya hovyo hovyo yanaandikwa na watu hovyohovyo.
Huwa sisomi nikishaona jina. Najua ni utumbo wa kuku mwenye kideri.
 
moonwalk.gif
 
Nenda kamuulize bi kiroboto kuhusu wabunge,malaria haikubaliki tanzania,nenda katibiwe kabla ya kukupanda kichwani dogo.
 
najua ccm kwa posho hawawezekani. wanatamani kila mmoja apokee sh million 10 kwa siku.
kwa hivyo naamini sasa wanapokea laki 2 badala ya 70 elf.
lkn jee hawa wa chadema wanapokea sh ngapi? au 70 elf au chini ya hapo ?

Suala la posho linategemea zaidi uzalendo wa mbunge, mpaka sasa hivi mbunge wa Chadema aliyegomea utitiri wa posho ni mh. Zitto Kabwe, kimsingi ni uamuzi binafsi na wala si wa kichama; lakini kama unavyojua wabunge wetu wengi wanaongea lugha moja, sijasikia mbunge mwingine aliyegomea hadharani, ni juzi tu mh. January naye alijitokeza.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
wafuasi wa cdm ni watu wenye siasa kali na mtazamo wa kimageuzi ya kweli. Ila hao viongozi wa cdm ni meli ya wajanja! Haijatokea duniani kwa mpinzani kujadilian sera zake za ubishi na mtawala aliye madarakani. Kitendo cha slaa, cha kunegotiate na viongozi wa ccm kuhusu msimamo wa cdm wa katiba ni cha kisaliti. Ndio maana cdm mpaka leo wapo kimyaaa kuhusu katiba.

Pale slaa ilibidi ashikilie uzi wake ule ule wa kuamndamana mpaka kieleweke, lakini aliangusha uso na hivyo katiba itakuwa ya kijanja janja kama vile ile ya 1947!

andika kitu kinachoendana na thread husika.acha kuleta za magamba hapa.
 
shizukan
Maametu mzazi angezaa kama wewe wawili duniani nahisi
angekuwa mirembe bahati Mungu amemjalia kichwa bingo pekee
 
haujatulia mkuu tafakari upya hii sheria ni ya wabunge wote kumbuka hawapewi mikononi zinaingizwa kwenye account zao
 
shizukan
Maametu mzazi angezaa kama wewe wawili duniani nahisi
angekuwa mirembe bahati Mungu amemjalia kichwa bingo pekee

siku moja niliona eti unasema kipindi nikiwa pale udsm... Sidhani kama wewe umefika hata chuo! Wewe ni kilaza... Kama una shahada basi uliipata kwa vibomu ulikuwa unaingia na nondo! Maana hujui kuandika vizuri! :lol:
 
Hongera kwa kutoka kwenye Ban!

Ha ha ha!Huyu kwa jinsi alivyo lazima alikuwepo humu, i wonder wich id was he using!

BTW MS huyo mtoto hapo kwenye Avatar ni suicide bomber?

And if so huo si ujinga kabisa hao watoto wanaelewa nini kuwavika mabomu kama na wewe una akili timamu?
avatar17809_27.gif
 
Acheni upimbi nyinyi,
Mtafikiri labda mnajua sana taratibu za bunge!!
Unachosaini ni karatasi ambayo haijaandika kiwango cha fedha utakachochukua!!
Wala sidhani kama hizo hela unakabidhiwa CASH mlangoni wakati wa kuingia!!
Wikiend kama hii ambapo ofisi nyingi zinafungwa hivyo kupunguza msongo wa mawazo kazini, Jaribuni kufikirisha ubongo wenu kuliko kutujazia utumbo hapa!!!
 
Back
Top Bottom