Zitto: Tuongelee uzalishaji zaidi kuliko kuongelea matumizi

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Zitto, nilikuangalia sana kwa muda wakati wa kipindi cha Mlimani TV, ukiwa na mwenyeji wako Hamis Damu Mbaya jana! Kwa hakika kama tungekuwa na wabunge wenye mtizamo kama wako angalia robo ya wabunge wote, Tanzania ingepiga hatua.

Niliwahi kuwaambia marafiki zangu wengi wa karibu! Kwamba nilisikitishwa sana na uchaguzi wa 2010 especially kwenye ahadi za wagombea uraisi, maana kwa asilimia kubwa sana wote walikuwa wakiongelea matumizi, sio kuongeza mapato kupitilia uzalishaji, jana uliweka vizuri sana mtizamo wako. na kwa kweli tunategemea wabunge vijana muweke msisitizo kwenye uzalishaji mali, kuongeza ajira alafu haya ya matumizi kwa sababu wabunge karibia wote wanafanya waachieni wafanye upande huo kwa sababu wanadhani wametumwa na wananchi wao kufanya hivyo!

Tunapenda wabunge vijana, muwe na ajenda ya ku-transform bunge letu linavyoendeshwa especially, jaribuni kumsaidia spika kwamba wakati wa kujadili miswada kila anayesimama aongelee miswada aache kuongelea kuomba kitu etc kwa ajili ya Jimbo lake etc... aende straight to the article of the bill etc.

It is your role and in fact key role to change the way sessions are conduct kwenye bunge letu! this can not be done over night of course but you can do by influencing and leading...(i.e. leading by example).

Tunawategemea sana! Zitto, Mnyika, Mdee, Deo, January, Lazaro Nyalandu... transform our national assembly and the MPs into discussing issues.

Msiwabeze, bali waonyesheni bila kuwadhihaki ndio mafanikio yatatokea kwa haraza zaidi.
 
pana ukweli mkubwa sana hapa tukiungana wote hata hapa JF tukangelea zaidi uzalishaji itasaidia sana kuikwamua nchi yetu kutoka kwenye umaskini

Ila matumizi yanapo kuwa makubwa yasiyo na tija inadiscorage sana wazalishaji tukumbuke kuwa anaye zalisha anafanya hivyo akiwa na malengo maalumu malengo yanapokuwa kinyume hukata tamaa zaidi
 
Good Coment, let our young MPS talk about how to improve production and specifically finished products not only material production as we use to do during colonial rule.This mere discussion on spending ( ie posho) will not take us through.
 
Kwa kweli kama maono yake yatafanikiwa Zitto ana mkakati mzuri ambao unaweza kuzaa matunda, kwa jinsi alivyokuwa akijieleza ni jambo la kutia moyo kuona kuna kiongozi anajali maslahi ya watu wake.
 
Back
Top Bottom