Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wananchi wa kijiji cha Hoteli Tatu wilayani Kilwa baada ya kuweka jiwe la msingi katika zahanati ya kijiji hicho...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Hivi mshawahi kujiuliza swali hili? Naongelewa kuanzia TAA mpaka TANU .... kazi kwenu manoijua historia ya siasa ya Tanzania
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Labda kama kuna maana nzuri zaidi au maneno ya kitaalam juu ya weledi wa kazi ya kipolisi, lakini Mwenyekiti Mbowe hakukamatwa na polisi kama ilivyoripotiwa katika moja ya thread hapa jamvini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Monday, 12 December 2011 Naibu Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Kyela, Dk Harrison Mwakyembe Patricia Kimelemeta NAIBU Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Kyela, Dk Harrison Mwakyembe, amerejea...
2 Reactions
110 Replies
12K Views
Wakiojiwa kuhusu kukosekana marais wa EAC kwenye sherehe za uhuru, Zitto na Prof Baregu wameonyesha kupingana na msimamo wa TZ kutosaini makubaliano ya EAC mpaka kipengere cha usalama na ardhi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Written by mseto // 11/12/2011 Wazanzibari kutoka sehemu mbalimbali za Skandinavia walikutana jana kusherehekea kumbukumbu ya siku ya Uhuru wa Zanzibar wa tarehe 10 Disemba 1963. Sherehe hizo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati hali ikiwa tete katika Chama cha CUF, mzozo mwingine mkubwa ambao umeibuka ndani ya Chama cha NCCR- Mageuzi umefikia hatua mbaya, baada ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Samuel Ruhuza...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Written by Hassan10 // 13/12/2011 // Habari // No comments UN-SPEASH-FOR-MINISTER-OF-ZANZIBAR-MOHAMMED-SHAMTE Prime Minister Muhammed Shamte Hamad (as Head of Government of the...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Mbunge wa Hai (Chadema), ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jana alishikiliwa na jeshi la polisi kwa takribani robo saa kwa mahojiano baada ya kupiga fataki katika...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Pamekuwepo na wimbi kubwa la kumlaumu na kumkejeli Lowassa kwa muda mrefu hivi sasa ,lakini wa Tanzania wanashindwa kuzitumia aliki zao kufiri badala yake wamekuwa na akili za kuchangiwa naweza...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mojawapo ya mambo ambayo Watanzania tunaonekana kutokuwa na msimamo wa ukweli ni suala la ardhi na Jumuiya ya Afrika ya Mashariki. Wapo watu wanaoshangiilia kuwa TZ imeweka ngumu na kuzuia ardhi...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Nikiwa napitia "THE POLITICAL SERVICE RETIREMENT BENEFITS ACT 1999" nimekutana na vifungu vingi lakini kifungu kifuatacho imebidi nikilete jamvini kupata maoni yenu: SECTION 14(4): "If the...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wapendwa wanajamii 1. Hivi, ni kitu gani kinamsibu Rais wetu J.K, kiasi kwamba haoni haya yanayoendelea nchini kwetu? Mifano dhahili ni mingi sana, naomba nitaje michache: a) Swala la posho za...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Katika televisheni ya taifa TBC1 kulikuwa na mahojiano na gavana wa kwanza wa Benki kuu ya Tanzania mzee Mtei. Moja ya swali aliloulizwa ni changamoto alizokumbana nazo wakati yu gavana. Katika...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
James Mbatia amemvua uongozi Wa Katibu Wanawake Bi Amina kwa kosa la Kusaini Waraka wa kutaka Mbatia atolewe Uenyekiti Taifa! Bi Amina tayari amesha kabidhiwa barua hiyo na Kambi Ya Mbatia...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa simsikii Makorgoro Nyerere akisema lolote juu ya Serikali ya chama chake -ccm - kubomoa misingi ya utu na uadilifu aliyoiweka baba yake Mwl. Nyerere. Mbona baadhi ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wana jamvi leo nilikuwa nasikiliza mapitio ya magazeti, kuna gazeti moja limeandika eti Lowasa ni kama Zuma kwa maana kwamba ata bounce back na kuukwaa uraisi by 2015 kiulaani kama zuma...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Na Ahmed Rajab - Raia Mwema SIKU moja nilipokuwa nikiongea na rais mmoja wa Zanzibar sebuleni Ikulu, Unguja, alinigeukia ghafla na kuniuliza: ‘Unafikiri Ukarume utarudi hapa?'...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Magazeti ya jana 12/12/2011 yaliripoti habari juu ya mvutano mkubwa uliotokea manzese kati ya walinzi wa ofisi kuu ya CUF wakishirikiana na walinzi wa wilaya ya kinondoni kupambana na mabaunsa...
4 Reactions
51 Replies
6K Views
Katika tamko hilo lililosainiwa na Nape Nnauye, CCM imepinga ongezeko hilo na hasa sababu iliyotolewa na Spika Makinda. Kwa taarifa zaidi fungua hapa http://www.mjengwablog.com
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Back
Top Bottom