Ushauri wa bure kwa mheshimiwa Sitta

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Huyu Mzee namkubali sana katika kuongea ukweli isipokuwa upinzani huo unatakiwa aufanye akiiwa nje ya chama chake vinginevyo atakuwa anatwanga maji kwenye kinu

Namshauli atoke nje ya chama chake (samahani sijasema aende chama gani)ili aweze kuleta upinzani wa kweli

Wana JF mna maoni gani juu ya ushauli huu???????
 
Mzee six mafisadi watampoteza tu, bado wanamvutia pumzi, na akiendelea kubaki huko ccm anaendelea kuisha kisiasa na kupoteza mvuto.
 
Nakubalina na wewe mkuu cos jamaa anawindwa kila kona,Kutoswa kwake kwenye tuzo za kikwete ni ishara tosha kuwa kakalia kuti kavu
 
l selelii hawezi ondoka ccm ni mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ngorongoro
 
Huyu Mzee namkubali sana katika kuongea ukweli isipokuwa upinzani huo unatakiwa aufanye akiiwa nje ya chama chake vinginevyo atakuwa anatwanga maji kwenye kinu

Namshauli atoke nje ya chama chake (samahani sijasema aende chama gani)ili aweze kuleta upinzani wa kweli

Wana JF mna maoni gani juu ya ushauli huu???????

Mwache Sitta afanye upinzani akiwa ndani ya chama. Tunayo CHADEMA tayari ambayo inafanya upinzani kama chama pinzani. Hata Mwalimu alipokuwa anakosoa mambo mbali mbali ndani ya magamba wakati wa Mkapa alikuwa bado ni mwanachama wa magamba.
 
Back
Top Bottom