Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukipenda waweza kuiita tetesi, news alert, breaking news au vyovyote upendavyo. Lkn habari zilizonifikia kutoka chanzo changu cha habari kilichoko ikulu na bila shaka yoyote ni mkaguzi na mdhibiti...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Look how Tanzania played catch-up after Mwalimu By Firoze Manji THE EAST AFRICAN Posted Saturday, December 10 2011 at 15:39 How to celebrate half a century of Independence...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
Sherehe za tarehe 9 december 2011 ilikuwa miaka 50 ya UHURU wa TANGANYIKA au TANZANIA? maana TANGANYIKA ndio ilipata uhuru wake 1961 na TANZANIA ni muungano uliofanyika mwaka 1964 ambayo ni miaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nchi yetu yaani Tanzania imepitia awamu nne za uongozi,tangu mwalimu Nyerere mpaka Jakaya Kikwete.Je, unaonaje mchango wa wake wa marais kwenye maendelea ya taifa na hasa ukizingatia ile kauli...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Published On: Sun, Dec 11th, 2011 Tanzania | Published On: Sun, Dec 11th, 2011 Parliamentary Secretary to the Minister of Foreign Affairs, Deepak Obhrai Peaceful transition of power to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimesoma kwa masikitiko gazeti la Mwananchi leo kuwa mshahara wa mbunge wa mwezi mmoja ni mshahara wa mwalimu wa msingi wa miaka mitatu na mshahara wa Medical Doctor wa mwaka mmoja. Pamoja na hayo...
2 Reactions
38 Replies
12K Views
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu kupitia kwa jamaa zangu pale hazina kujua gharama tulizoingia kwa kuandaa haya maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.. Kwa haraka...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Wakuu mwenye nayo aitoe hapa tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu hivi kwa nini JK hakuwaalika viongozi wenzake wa EAC countries? au walialikwa mie sikuwaona
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeona nami nitoe salamu zangu za uhuru kwa njia hii baada ya kusoma habari iliandikwa na mhe moses machali ilikuwa inajibu ama kutoa ufafanuzi wa malumbano yanayoendelea kuhusu uhalali wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mi ninajiuliza hili swali sana sipati jibu.kwa nini kila kukicha wtz tunakuwa wajinga,tunakosa UZALENDO na ubunifu.ninasoma historia ya Mkwawa hapa jamaa alikuwa na akili sana na UZALENDO wa hali...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu kabla ya mkutano wa NEC Nape alikuwa active sana katika vyombo vya habari na mitandao ya Jamii, sasa hasikiki! Amezibwa mdomo?
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Sheria ya kuundwa kwa katiba mpya ya jamhuri ya muungano wa tanzania iliyosainiwa hivi karibuni na rais inakiuka misingi ya kidemocrasia na inavunja katiba ya jamhuri kwani imeingilia uhuru wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Tizameni maswali ya kumwaga kwa Mnyika hii sijui live yake ilikuwa lini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WAZIRI mmoja mwandamizi ndani ya serikali ya Rais Jakaya Kikwete, yuko mbioni kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM), imefahamika. MwanaHALISI limeelezwa kuwa hatua ya kigogo huyo kutaka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wana JF hadi sasa sijapata sababu maarum zilizo fanya majirani zetu hasa wale waliopo katika jumuia ya Afrika Mashariki wote kushindwa kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakati tukielekea katika kumbukumbu ya kifo cha kipenzi cha watanzania wengi hayati Edward Moringe Sokoine naona mheshimiwa Lowasa yumo akimwelezea marehemu alivyokuwa 1. Kuna umuhimu wa Lowasa...
0 Reactions
190 Replies
18K Views
Yule bingwa wa sanaa za siasa , aliyewahi lkumpindua cheyo uenyekiti wa chama cha UDP, amabye amewahi kuwa mbunge wa jimbo la Kisesa mkoani shinyanga ambaye hakuweza kuwafanyia chcochote wananchi...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Mheshimiwa tunaomba utusaidie sana,ajira ni tatizo kubwa hapa moshi mjini kwa mawazo haya tatizo lingeweza kupungua.Tufufuliwe viwanda vilivyokufa hapa Moshi,kama kile cha Magogo,Magunia...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
wanajamii forum napenda kuwaasa watu ambao kwa sasa wanapiga kampeni kuhakikisha wanamsafisha Edward Lowasa..watu hawa wapo karibu kila eneo humu social media,,magazeti,,TV na radio,,tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom