File la Mzee Mwakawago kwa JK

Mughwira

Senior Member
Jun 10, 2008
109
34
Kuna habari kuwa Marehemu Mzee Daudi Mwakawago (R.I.P) alikuwa na report nzito ya tuhuma ambazo angezitoa kwa mwenyekiti wa CCM Mzee Mkapa JK asingekuwa raisi wa TZ, amenukuliwa mzee wa umvi EL. Kwa yeyote mwenye insight ya yaliyokuwa kwenye hilo file atujuze wanajuamvi..
 
Sawa!Wenyewe wapo humu humu watakujibu, Lakini mkuu hujasema source yako ni nini?
 
Kuna habari kuwa Marehemu Mzee Daudi Mwakawago (R.I.P) alikuwa na report nzito ya tuhuma ambazo angezitoa kwa mwenyekiti wa CCM Mzee Mkapa JK asingekuwa raisi wa TZ, amenukuliwa mzee wa umvi EL. Kwa yeyote mwenye insight ya yaliyokuwa kwenye hilo file atujuze wanajuamvi..

Atuwekee basi tuhuma hizo nzito hadharani ili Watanganyika tuzifahamu, hakuna haja ya kuendelea kuzifanya siri. Kama hakustahili kuwa Rais basi hakuna sababu ya kumuacha aendelee kuwa madarakani hadi 2015, harakati za kumtosa zianze SASA HIVI.
 
ndio na andaa hilo file subiri nipo na scan file la mwakawago kuhusu JK then niwape msome fasta naomba mnilinde:eyebrows::lol::A S 465:
 
Mkuu si wengine hatupendi hayo mambo, tafadhali usliweke... utulinde na sisi basi usiliweke
 
Mkuu kama hutaki kuyasoma yaliyomo kwenye file hilo basi usiingie tu kwenye hii thread, usisahau hapa ni JF where we dare to talk openly...wengine tungependa kuyasoma yote ambayo ni muhimu yaliyomo katika file hilo, kama kweli lipo file kama hilo.
 
Mkuu si wengine hatupendi hayo mambo, tafadhali usliweke... utulinde na sisi basi usiliweke
Kama hutaki hilo faili liwekwe basi kimbia JF kama jina lako Mpita Njia, hapa ni weak leaks bana weka faili tuweze kulichambua acha woga!!!!!!

  • Thanks
Reactions: BAK
basi akiona hiyo thread asichangie afunue afunge mapema kabla hayajamwingia kichwani
 
Kuna habari kuwa Marehemu Mzee Daudi Mwakawago (R.I.P) alikuwa na report nzito ya tuhuma ambazo angezitoa kwa mwenyekiti wa CCM Mzee Mkapa JK asingekuwa raisi wa TZ, amenukuliwa mzee wa umvi EL. Kwa yeyote mwenye insight ya yaliyokuwa kwenye hilo file atujuze wanajuamvi..

samahani mkuu walisema paul sozigwa siyo Daudi mwakawago. hata hivyo sijui kama kuna logic anayetuhumiwa aanze kushughulika na hilo faili labda ungetoa habari kwamba hilo faili linatafutwa au limeibiwa tungekuelewa
 
Endeleeni kutujuza wakuu.

Tunataka kujua faili lilikuwa na tuhuma gani ndo issue; hapo ndio tutajua watuhumiwa wengine au ni kampeni za kujisafisha za EL.
 
Back
Top Bottom