Zitto Kabwe on Mlimani TV now!

bibikuku

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
832
495
Zitto yuko Live Mlimani TV now, huenda ameanza tangu zaa mbili unusu, hadi sasa amekuwa akizungumzia swala la posho za wabunge na kusema lazima wabunge wawe wa kwanza kupinga sitting allowances then wafanyakazi wa serikali wafuate
 
Sasa anazungumzia posho mpya za wabunge na kusema zinatakiwa kulipwa baada ya rais kutoa masharti ya kazi kwa wabunge na kwa sasa hakuna masharti mapya hivyo malipo yaliyoelezwa na spika kuwa yametolewa sasa ni batili na Dr Kashililah yuko right, rais hajasaini masharti mapya ya kazi za wabunge
 
asema spika amekubali kulipa posho hizo kwa shinikizo la wabunge kutishia kumuondoa na hivyo kukiuka taratibu
 
  • Thanks
Reactions: FJM
anasema spika anaogopa kung'olewa ndio maana kakubali kuvunja taratibu na kuwalipa wabunge posho mpya bila rais kuidhinisha, anasema yeye na wenzake wachache wako tayari kumsaidia spika asing'olewe na wabunge njaa wanaoshinikiza posho kuongezwa
 
awashutumu pia wajumbe wa kamati ya uongozi wa bunge (makamishna) katika kuongeza posho hizo kwa kukubali pressure za wabunge kwenye nyongeza hiyo, huyu mtangazaji hajamuuliza swali kuhusu ugonjwa wake nadhani kama amepona kabisa au badobado
 
mizengwe pindra alilia ndo akahurumiwa, zito atamsaidiaje bi kiroboto dhidi ya wabunge wapiga dili wa ccm?
 
amezungumzia pia swala la mfumuko wa bei na namna serikali inavyoweza kusaidia swala hilo
 
kipindi kimekwisha inaonekana leo kulikuwa na matatizo ya simu maana hawakupokea simu za watazamaji kama kawaida
 
Back
Top Bottom