Bofya hapa chini kuona video ya mgomo na maandamano yalivyotikisa jiji la New York
East New York homes taken back as Occupy protesters set sights on foreclosures - video
Congo protest leads...
Tuesday, 13 December 2011 20:31
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi,Rais Jakaya Kikwete
Boniface Meena
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinahofu kuwa chaguzi za jumuiya zake zinazotarajia kufanyika...
Kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Wabunge ya 1997 (siina uhakika kama imewahi kufanyiwa marekebisho)
Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge: (WAJUMBE WOTE NI WABUNGE)
(a) the Speaker, who shall...
Naona alianza UK sasa yamekuja ya USA na utitiri wa conditions kama tunataka tuendelee kukinga bakuri kwao.
Apart from ndoa ya jinsia moja naona wameongeza na suala la polygamy ect
Ivi ni kwa...
Toka juzi na Jana...Magazeti yamekuwa yakiripoti juu ya Migogoro iliyoibuka..katika Vyama vya Siasa
1. NCCR MAGEUZI...hiki chama kilikuwa maarufu miaka 95..lakini sasa kina mgogoro mkubwa nao...
Hii kitu bado inanichanganya mbunge kuanza kula posho kabla haijasainiwa na rais. Hivi kusaini ni utamaduni!? Style au ni sheria au kitu gani? Au nchi imefika mahali kila mtu anajiamulia kivyake...
Ndugu zangu,
Ni dhahiri kauli ya Spika Anne Makinda kuwa wabunge wanaongezewa posho kwa vile gharama ya maisha Dodoma iko juu inaonyesha udhaifu walionao viongozi wetu wengi; kukosa uelewa wa...
Muungano wetu hauwezi kuokolewa kwa maneno matamu kama 'Muungano ni lulu', etc. tu. Muungano huu umekuwa na matatizo makubwa ya kimsingi kwa miaka yote ya uhai wake. Kujifanya matatizo haya hayapo...
Mimi ni mtanzania ambaye ni mdau wa utalii in the Northern circuit. Ni shareholder in Lodge in the Tarangire, MD for a tour company and the MD for an Investment Company. I have a lot tips to...
Kujaribu kuwafanya watanzania waamini kwamba Disemba 09, 2011 tunasherehekea miaka 50 tangu kupata uhuru ni kupindisha historia kwa maslahi ya nani????????? Ni nani tunajaribu kumdanganya kama si...
Wakuu,
Mwenye taarifa za kina kuhusu hiki chuo anijuze nataka ni apply.Kiko chini ya wizara ipi?kina hadhi kama kile cha monduli na mtaala upi kinatumia maana wakufunzi wengi ni...
Sakata la wabunge kuongezewa posho kutoka shilingi 70'000 hadi 200'000 kwasiku sasa madiwani nao wameshtukia dili kuhusu nao pia wana haki ya kuongezewa posho, madiwani nao wanasema haiwezekani...
The Citizen Reporter
Dar es Salaam.
The absence of four East Africa Heads of State at the countrys 50th independence anniversary celebrations in Dar es Salaam last Friday was sheer...
Hakuna kijana mwenye uwezo mkubwa katika medani za kisiasa katika vyama vyote vya siasa kama Mh John Mnyika. Palipo na ukweli lazima usemwe, palipo na ukweli pia uongo hujitenga. Huwa anajua nini...
Wanabodi,
Wakati mwingine ni vyema kumsoma mtu maneno yake vizuri! Sintasahau maneno haya kutoka kwa Spika wangu, "Kwamba mbunge anakatwa mkopo laki nani, Sh. 800,000/-" hivyo "take home" yake...
nimesikitishwa sana na ubaguzi uliopo ndani ya chadema,hivi karibuni ktk harakati za chadema kuhakikisha kuwa wanashinda uchaguzi igunga, mbunge wa viti maalumu na wenzake walimdharilisha kwa...
��
EAC FEDERATION: KENYA'S WARIGI VS TANZANIA'S M
Follow this interesting dialogue.
Tanzania is proving to be a liability in EA integration
By GITAU WARIGI Posted Saturday, November 29 2008...
Kwa kweli umefika wakati,watanzania tuwe makini na hawa wabunge wanafiki na wabinafsi tuwakatae wabunge ambao wanaacha kazi yao ya msingi ya kuwawakilisha watanzania na kugeuka wawakilishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.