Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 787
Wanabodi,
Wakati mwingine ni vyema kumsoma mtu maneno yake vizuri! Sintasahau maneno haya kutoka kwa Spika wangu, "Kwamba mbunge anakatwa mkopo laki nani, Sh. 800,000/-" hivyo "take home" yake inakuwa ndogo, ati hiki kilikuwa pia kigezo cha kuomba posho ziongezwe.
Somo kubwa hapa:
Kila ambaye ana mkopo kwenye mshahara wake atumie kama kigezo kuongezewa mshahara zaidi: Maajabu ya Dunia ambayo ni mara yangu ya kwanza kuyaelewa.
Kwa maana nyingine kila ukikopa hiyo ni motivation ya kuongezewa mshahara ili "take home" yako inone. La haula.....:A S embarassed:
Walimu mpo? maktari mpo?