Hamad kufikishwa kamati ya maadili ya CUF, asema Mtatiro

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Mtatiro atangaza kwamba Hamad Rashid na wenzake 3 kuitwa mbele ya kamati ya maadili y Cuf kwa kosa la uasi.

Ch10 news 7pm
 
Mtatiro atangaza kwamba Hamad Rashid na wenzake 3 kuitwa mbele ya kamati ya maadili y Cuf kwa kosa la uasi.

Ch10 news 7pm
Eeeeh nae anaungana na Lowassa na chenge kwenda kuchinjiwa kwenye kamati za maadili za vyama vyao...!kwenye kamati za maadili zina nguvu,nimeamini.
 
Hamad Rashid ataawamaliza akina Seif na Jussa. Anao ushahidi mzito kuhusu ufisadi wa helicopter iliyotumika Igunga ambayo pia inamhusisha Rpstam.

Ni mtokisiko mkubwa utatokea.
 
ndio maana daima nasema vyama vya upinzani Tanzania viko kimaslahi binafsi zaidi..! walianza NCCR sasa CUF.! Next time CDM..!
 
Hawawezi kuja CDM, maana tunawajua wote ni waumini wa Shibudaism!
watarudi kwa ndugu zao wanaofanana nao ccm
 
Hamad Rashid ataawamaliza akina Seif na Jussa. Anao ushahidi mzito kuhusu ufisadi wa helicopter iliyotumika Igunga ambayo pia inamhusisha Rpstam.

Ni mtokisiko mkubwa utatokea.
Kwa tanzania hii ninayoijua hakuna kitu kinachoitwa ushahidi mzito.
 
Hamad Rashid ataawamaliza akina Seif na Jussa. Anao ushahidi mzito kuhusu ufisadi wa helicopter iliyotumika Igunga ambayo pia inamhusisha Rpstam.

Ni mtokisiko mkubwa utatokea.
Kweli,cuf ni kama NGO ya ROSTAM Kwa muda sasa,jussa amekua akitumika kama kiungo muhimu sana cha mahusiano ya cuf na Rostam kupitia kwa Januari Makamba!hapa kuna mambo mengi sana yanazunguka,mpaka muafaka wa seif na karume uliopelea seif kuhamishia "ofisi ya ukatibu wa cuf ikulu ya zanzibar" na kisa cha shein kuwa rais wa zanzibar na bilal "kuletwa" bara,yote yana mkono wa Rostam na genge lake!lengo likiwa kumpisha njia lowassa amrithi jamaa magogoni indirectly,si mnajua shein kama angebaki bara baada ya mzee wa chalinze kumaliza muda wake ikulu angekua na sifa zote za kumrithi pale magogoni?kina Rostam waliliona hilo mapema mno,wakamleta bilal ambae walijua baada ya miaka mitano atakuwa kishachoka sana na hatakua na nguvu za kuitamani ikulu ya magogoni tena zaidi ya kuombea aendelee kuwa makamu wa rais kwa miaka mingine mitano!
 
Laana ya unafiki itawatafuna hawa CCM b mpaka tone la mwisho.Sitosahau hotuba ya hamad rashid na habib mnyaa waliyotoa bungeni wakati wa kujadili mswada wa katiba,jinsi walivyoilaani chadema na kuonyesha ubaguzi wa waziwazi kwa watu wa Tanzania bara.Hii dhambi itawala mpaka wamalizane wote.
 
HR akija Chadema nahamia CUF rasmi.

Kwanini usiende ccm ukaungane na lowassa wako kumsaida kutimiza ndoto yako na yake? rejea hii "Edward Ngoyai Lowassa for ccm chairman-2012",wewe kama sio ccm magamba mawili yaliyobaki basi utakua unalipwa pesa nyingi sana lowassa kwa debe hili zito unalompigia,siamini kama great thinker kama wewe unaweza kuingia gharama hivi hivi tu kupromote project ya mtu mwingine katika chama kingine tofauti na chama chako!huo ni uongo...ni sawa sawa kumkuta mtu kavaa t shirt na kapelo za ccm zimeandikwa lowassa for ccm chairman halafu mtu huyo akajifanya sio ccm!hii sio kweli,na hili ni tatizo,upinzani bongo unashidwa kusonga mbele kutokana na kuwa na mamluki kama wewe!

 
Waacheni wafu wazikane wenyewe!dhambi ya ubaguzi,udini,ndoa,nk itawatafuna na kuwamaliza kabisa!huu ndo mwisho wa cuf hasa huku Tanganyika.
 
itabidi arudi CCM A na wala si kurudi CCM kama wengine wanavyodai,maana hata sasa Hamad Rashid yuko CCM.na hii ni dhambi ya kuwageuka na kuwasaliti wananchi waliowapigania kwa nguvu zao zote na hata wengine kupoteza maisha kwa kuamini CUF ilikuwa inawaongoza kwenye utawala wa haki sawa kumbe ilikuwa ni maslahi ya Seif kwenda ikulu na kisha kuungana na chama ambacho wamekuwa wakisuguana kwa miaka mingi na kugharimu maisha,je walichokuwa wanakipigania walikipata ni vipi leo waungane?sasa hayo ndo matokeo yake,watafukuzana sana hawa.
 
Back
Top Bottom