Wateule wa Rais na Waziri Mkuu kuongoza taasisi ya kupambana na rushwa kenya wapigwa chini na kamati(vetting commitee). Kamati ya mwambia Rais chagua tena hawa hawafai!
Juzi nikiwa natazama taarifa ya habari Star TV, nilibaki na mawazo mengi baada ya kuwasikia viongozi mbalimbali wa madhehebu na dini wa hapa tz walipokuwa wanahojiwa na mwandishi wa habari juu ya...
Hakika siasa na utaalaam ni vitu viwili tofauti, leo hii mvua imenyesha sana hapa makambako, cha ajabu barabara za mitaa walizojinasibu madiwani wetu kuwa wamezifanyia ukarabati kwa kiwango cha...
Takribani vyama vikuu vyote vya siasa Tanzania viko kwenye migogoro ya uongozi wa juu.
Kwa kuanzia; CCM kunafukuta ikiwa inajiandaa kutekeleza dhana yao ya kujivua gamba ambapo viongozi...
Rejea hotuba ya Jk katika maadhimisho ya miaka 50.
Pigia mstari maneno kama haya namnukuu "Vilevile namshukuru Mh. Luhanjo katibu mkuu kiongozi kwa usimamizi na utendaji wake katika kufanikisha...
Watanganyika tumelogwa na nani? CCM au?
Baada ya kujiuliza swali hilo; nawashauri watanganyika wenzagu tufumbuke katika hili suala la katiba mpya ya Tanganyika kwanza na katiba ya Muungano...
I appreciate huyu Tundu Lissu, kamfumua Kafumu Mbunge, kwa kupokea per diem laki 6, na alivyotaja alishangaaa kuona yupo Bungeni meaning hakujua kama ni Mbunge inavyoonekana, imagine jamaa yupo...
Mkapa alishindwa kutumia nafasi yake kutuachia kiongozi anayefaa, aliuza nchi yetu. Tumeambiwa na Lowassa kuwa Mzee Sozingwa alifanya uchunguzi wa kina kwa niaba ya chama na kwa usalama wa nchi...
DR.HAMISI KIGWANGALLA ACHA KUCHEZA NA AKIRI ZETU WEWE,..HUU UNAOUFANYA NI UNDUMILA KUWILI NA UOGA WA KUOGOPA KUWAJIBIKA,....!!!! USIWE BENDERA FATA UPEPO,.. WEWE KAMA BADO WAHITAJI POSHO IONGEZEKE...
Wanabodi,
Recently nimefurahishwa sana na wenzetu wa Zanzibar! Kwa nini? Wemeacha kuongea sana siasa kama walivyokuwa mwanzoni wenzetu wamejifunza kwamba too much politics hazitupeleki popote...
Kwanza hakuna suala linalo udhi kama suala la kuiga vitu pasipo kushirikisha akili,hasa hili linapotokea kwa watu wenye akili timamu.
Hoja ya kisera kwa kuwataka vijana...
Hapa nchini nduguzanguni kuna mikorogo mingi sana juu ya tafsiri ya Uhuru wa nchi hii mwaka 1961,kama nchi ya Tanganyika Huru.
Lakini tunajisahau kwamba tulichokipata mwaka...
Aliyekuwa mgombea wa kiti cha udiwani wa kata ya mwawaza shinyanga mjini kwa tiketi ya chama cha demokrasia na maendeleo mwaka jana ambaye ndiye anayepewa nafasi kubwa ya kukunyakuwa kiti hicho...
Hivi punde Mh. Hamis Kigwangala ameweka status yake Facebook juu ya Mh. January Makamba:
Mhe. January Yusuph Makamba (MP, M-CC, MNEC) has the following platform ya kuongelea: Bunge, Kamati Kuu...
Heshima kwenu wadau,
Nimesikitishwa na malumbano yanayoendelea ndani ya chama cha CUF, huu siyo mustakabali mzuri kwa vyama vya upinzani nchini. Kuna jambo nimeshindwa kulielewa, mbona tuhuma...
wakuu, nimemuona kwa itv ndugu vuai pamoja na mambo mengine amesema namnukuu, ni bahati mbaya sana waafrika tunafanana sana, mwisho wa kumnukuu, alikuwa anafafanua kuhusu MRADI wa vitambulisho vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.