Posho kuanza kuliwa kabla hazijasainiwa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Posho kuanza kuliwa kabla hazijasainiwa!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matawi, Dec 14, 2011.

 1. m

  matawi JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hii kitu bado inanichanganya mbunge kuanza kula posho kabla haijasainiwa na rais. Hivi kusaini ni utamaduni!? Style au ni sheria au kitu gani? Au nchi imefika mahali kila mtu anajiamulia kivyake. Na huyu dokita wa kuchonga kakaa tu anakenua. Mwenzenu nina mihasira mkija sikia kuna joseph koni wa bongo mjue ni mimi
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Naongeza swali, jamani hazina huwa wanapewa amri na nani kuwa toa fedha kwa idara/wizara etc fulani ? Sasa kama hazijasainiwa zilitokaje hazina kwenda bunge? Aulizaye ataka kujua
   
Loading...