Hii imekaaje wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii imekaaje wakuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mtu chake, Dec 14, 2011.

 1. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,278
  Trophy Points: 280
  Toka juzi na Jana...Magazeti yamekuwa yakiripoti juu ya Migogoro iliyoibuka..katika Vyama vya Siasa

  1. NCCR MAGEUZI...hiki chama kilikuwa maarufu miaka 95..lakini sasa kina mgogoro mkubwa nao ni wa kuhakikisha kuwa
  Mwenyekiti wao James Mbatia anang'oka...Mbunge kafulila amesema atahakikisha Mwenyekiti wake anang'oka...

  2. CUF...hiki chama nacho kilikuwa maarufu 2005..lakini sasa kimeingia katika Mgogoro wa kutaka katibu wao mh Seif Hamad..
  anang'oka..iwe kwa ngumi au kwa panga..Mbunge Mh Hamadi Rashidi..anahakikisha hili linatekelezeka......

  Angalizo..langu sasa....

  kwakuwa kuna Vyama ambavyo kwa sasa..ndio maarufu CHADEMA na CCM,je wanajifunza nini hapo?

  ila tukumbuke 2012 uchaguzi wa ndani wa CCM...najua watu wameishaanza kujipanga...hofu yangu ni kuwa nao wasije na hoja ya kutaka kuwang'oa mwenyekiti wao...hahahahaaaha....hivyo hivyo kwa CHADEMA..nao uchaguzi wao wa ndani bado..na huwa unakuwaga zengwe sana....

  huu ni wangu mtazamo tu
  nawasilisha
   
 2. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,321
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Hoja yako haina mashiko, kwani CCM imekuwa maarufu tangu lini?
   
 3. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hayo yanayoendelea huko ni ya kwao, sisi wa CHADEMA yetu macho tu na masikio.
   
 4. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,278
  Trophy Points: 280
  • We umaarufu unaupimaje?.....jenga hoja huwezi kaa chonjo


   ...Haya we sema hivyooo...yako..macho..nakuongezea na masikio usikie
   
Loading...