Kuna haja ya tanzania kuanza kuweka masharti kwenye uwekezaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna haja ya tanzania kuanza kuweka masharti kwenye uwekezaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njowepo, Dec 14, 2011.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naona alianza UK sasa yamekuja ya USA na utitiri wa conditions kama tunataka tuendelee kukinga bakuri kwao.
  Apart from ndoa ya jinsia moja naona wameongeza na suala la polygamy ect
  Ivi ni kwa nini Tanzani kama nchi tuanze weka masharti kwa wawekezaji wanaotoka kwenye nchi ambazo wanatoa ayo masharti.
  Kwa kuanzia tuanze na wawekezaji wa kwenye migodi ya Dhahabu,Almasi hawa wa kwenye gesi bila kusahau wale wa Uranium na wale wanaofanya fuel exploration.
  Masharti
  1.Lazima utambue kuwa ndoa ya jinsia moja ni kosa la jinai Tanzania
  2.Lazima udumishe mila na desturi za mahari unapowekeza.
  3.Ajira zote ziwe ni kwa ajili ya watz isipokuwa kwa wataalamu ambao Tz hawapo.
  4.Ni marufuku kufanya Transaction kwa kutumia dola ukiwa Tz
  5.Ukiukwaji wa masharti yoyote yale utapewa 48hrs notice kurudi kwenu
  And so on......................................
  Mnaweza endelea kuweka masharti ambayo ni kwa manufaa ya Tz

  Twataka raisi ajaye 2015 ayasimamie hayo masharti!
  Ingawa twaitaji kiongozi kama Hugo au Fidel kusimamia masharti kama hayo as it is a bitter pill to swallow.
  Na kiburi ya kuyasimamia hayo tunayo as madini ni yetu na yako Tz hayaozi na wala hawawezi kuyachukua tukiamua.
  Kama watareact kwa kutubana kwa sector zingine lazima tuwe TAYARI kufunga mikanda but atlast tutamanage ingawa atakayetuongoza katika hili lazima watamgadafi bse interest za imperialist zitakuwa zimesiginwa
   
 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mimi binafsi nawapongesa Cameron na Obama huoni siku hizi Vasco angalau katulia.
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mkuu usiseme hivo wakiiona hii post wataanza safari za kwenye SAYARI sasa
   
 4. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  tumezidi kuombaomba....kuombaomba kukizidi baadae watasema mtu wa nchi yoyote akitaka kupewa msaada basi ashikishwe ukuta na anayemsaidia....tuna resources nyingi sana kuendelea kuwa ombaomba sisi waafrika...
   
 5. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaaaaaaa!!! Very funny...
   
Loading...