Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,896
Bofya hapa chini kuona video ya mgomo na maandamano yalivyotikisa jiji la New York
East New York homes taken back as Occupy protesters set sights on foreclosures - video
East New York homes taken back as Occupy protesters set sights on foreclosures - video
Congo protest leads to over 100 arrests after trouble in London
10 Dec 2011: Property was damaged and members of the public threatened as a group broke away from the main demonstration
25,000 pro-democracy protesters in Moscow's Bolotnaya Square
Maandamano si Tanzania tu, ni wimbi duniani kote. Hapa warusi nao wana maandamano yao, kuna wasiorishishwa na wanataka mabadiliko au yatekelezwe wanayotaka. Kwa vyo vyote tawala duniani zina majukumu mazito ya kujiuliza kwa nini watawaliwa hawarizishwi na mienendo ya utendaji wa viongozi wao licha ya kwamba waliwachagua kwa ridhaa yao?
Je viongozi hawa wakishapata madaraka husahau ilani zao za uchaguzi na kuishia kufanya mambo kinyume cha matarajio ya raia waliowaweka madarakani?