Tanzania tuwakatae wabunge wanaotumia bunge kutafuta kipato

Feb 13, 2011
37
14
Kwa kweli umefika wakati,watanzania tuwe makini na hawa wabunge wanafiki na wabinafsi tuwakatae wabunge ambao wanaacha kazi yao ya msingi ya kuwawakilisha watanzania na kugeuka wawakilishi wa matumbo yao na familia zao.Kama kuna mbunge anatarajia kuongeza kipato kupitia bunge, basi ni vyema akajiengua au aenguliwe na kwa nguvu ya umma,awapishe wengine wenye moyo na dhamira safi ya kuwatetea watanzania.
 
Back
Top Bottom