I would like to correct you mr president Kikwete

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Mimi ni mtanzania ambaye ni mdau wa utalii in the Northern circuit. Ni shareholder in Lodge in the Tarangire, MD for a tour company and the MD for an Investment Company. I have a lot tips to denote in our tourism but I cant find the platforms - too much red tape.

Ok jana Mh wakati ukifungua campus ya chuo cha utalii Tanzania ulisema haya. TANAPA na NCAA wawekeze nguvu zao kwenye kutangaza utalii na siyo kulipana tu posho.

1. Kwanza si kazi ya TANAPA/NCAA kutangaza utalii wa nchi hii wenye jukumu hilo ni chombo chako cha TTB as this is their core function. Kazi ya TANAPA/NCAA ni kufanya conservation.

2. Ili posho zilipwe ambazo huzitaki lazima watu wasafari. Kwahiyo kama unataka wasilipwe posho basi wasijihusishe moja kwa moja kwenye kutangaza utalii.

3. Posho za safari za ndani. Kuna safari nyingi sana za kwenda wizarani Dar, na Wakurugenzi wengi ndo wanaenda Dar kuonana na mawaziri, makaribu, wajumbe wa board. Je ni kwanini hawa wakurugenzi wasiwe na ofisi pale Dar kama ili ilivyo kwa wildlife divisi na TTB?

SUGGESTIONS

1. TANAPA/NCAA wafanye kazi ya kufanya conservation na wawe wanakwenda zaidi field

3. Kuwe na taratibu za kutumia social media kama twitter, skype, webcam, face book kufanya meeting na siyo tu hawa wakurugenzi kwenda Dar kila siku kufanya mkutano wa lisaa limoja.

4. Restructuring - Kama ingekuwa ni uwezo wangu ninge restructure management ya hizi taasisi na kupeleka nguvu kubwa field na hapa mjini nikawa na liaison office ajili ya coordination. NCAA nao wameweza ila ndo hivyo wakurugenzi kila siku Dar.

Nawakilisha
 
Tatizo watu hamuoni mazuri ya JK, huyu jamaa anajaribu kuharibu dhana nzima ya alichokiongelea JK.
 
Kaka Asante.

Hujapoteza muda wako. Nitamfikishia waziri wa utalii bwana Maige kama yalivyo. Kama nae atapuuza poa kama atayafanyia kazi poa pia.
 
Back
Top Bottom