Mh Raisi,salaam!
Mheshimiwa nilifuatilia hotuba yako ya kufunga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2012.Kama kawaida hotuba ilikuwa nzuri.Ulieleza mambo mengi ya maana kwa mustakabali wa...
Kwenu CHADEMA
Mimi kama kijana wa kitanzania, naona mambo hayaendi kabisa ndani ya nchi yangu ambayo nitake nisitake bado ndo hatma ya maisha yangu ilipo. Na si mimi tu bali vijana wengi nao wapo...
Mwaka ushapita sasa tunaomba wana Ubungo na wana Dar na JF kwa ujumle mtuleteee report card ya huyu JJ MNYIKA
Je Mbunge huyu alitoa ahadi zipi kwa wana Ubungo
Je ana elimu gani?
Komsomea nini...
Wadau,
Najaribu ku-think loudly and widely. Najua hawa jamaa wa visiwani wametawanyika sana katika maeneo ya Tanganyika kuanzia Kyela Mbeya hadi Tarime Mara, kutoka Ujiji Kigoma hadi Ilala Dar es...
Hongera mkuu kwa kujitokeza ktk vyombo vya habari na kutoa ufafanuzi wa vyanzo vya pesa za misaada uliyotoa jimboni kwako... hii inakupa free mind na sisi wananchi tunapata satisfaction ya...
Wana JF Hii ndio hali halisi ya kwetu hapa nyumbani?Mishahara ya wafakazi haiwezi kuongenzwa hata kama wakigoma ,,Miaka nane"Mungu ibarika hiii Nchi"
TOFAUTI na alivyojigamba kwamba ni mlipaji...
CHADEMA SENGEREMA; TAARIFA KWA UMMA
WILLIAM NGELEJA NA HAMIS MGENJA WANAPONGEZANA KWA KUTAPELIWA! HILA HAZITAINUSURU CCM INAYOUMWA NAMBULILA!
KWA siku mbili mfululizo kumekuwepo na...
Wakati chama cha ANC cha Afrika kusini kikisherehea siku yake ya kuzaliwa matukio mawili muhimu kwangu nimeona. Mosi ni Rais wa zamani Thabu Mbeki kuhudhuria sherehe hizo kwa mara ya kwanza tangu...
Sunday, 08 January 2012 11:43
Na Maggid Mjengwa
Gezaulole baba, Gezaulole mama ee,Twendeni Kibugumo na Mwanadilato
kwenye makao mapya,Gezaulole baba, Geza ulole mama...
Wanabodi..
Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa kushirikiana na Kampuni ya ujenzi ya Phils International ya Dubai.
Wanatarajiwa kuboresha jiji la Arusha kwa kuwekeza katika mradi mkubwa wa...
Ni siku tano sasa tangu lile ongezeko la nauli limeanza kutelezeka, hakika mambo yanakwenda ndivyo sivyo. kwa kawaida mtu anaweza kudhani sisi ni walalamishi tusiyopenda kuchangia pato la taifa (...
Kutokana na vyama vyote kukosa dira inayoeleweka ya kuongoza Taifa.Naomba wale wapenda ujamaa ambao naamini bado wako wengi waanzishe chama cha kijamaa cha Tanzania (socialist party of Tanzania)...
UONGOZI wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umewafukuza kazi madaktari 229 walioko katika mafunzo kwa njia ya vitendo kutokana na mgomo wa siku nne wakishinikiza kulipwa posho zao za mwezi...
SERIKALI imeombwa kuhakikisha inatoa nakala nyingi za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzisambaza kila kona ya nchi hii ili kila Mtanzania aweze kuisoma na kujua mapungufu yake...
Amwambia aache kuingilia maamuzi ya CUF
Asisitiza: ``Hamad sio mwanachama wetu``
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF)...
Political party like any other formal organization has the standing orders, specific rules and regulations geared at governing, regulating and rationalising the behavioural patterns of its leaders...
SUMAYE AMVUTIA PUMZI NDUGAI
Waandishi Wetu
Mwananchi
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimebaki njia panda baada ya kushindwa kuchukua hatua au kutoa tamko kuhusu mivutano na vita ya maneno inayoendelea...
taarifa kupitia gazeti moja zinasema mh.kafulila azuiwa kuhutubia huko kasulu pamoja na kuwa na kibali cha kuhutubia kupitia chama cha APPT maendeleo.
je atasaidia chama hiki kupata nguvu au...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili
Mohammed Aboud Mohammed
Abood apinga urais wa kupokezana
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili Mohammed Aboud Mohammed amesema ni hatari Rais wa...
Uchaguzi uliopita an-kal wake mzee Makamba (mama yake Omari Kimbau na Yusuf Makamba ni ndugu) alijitahidi sana apate ubunge kwa mlango wa nyuma lakini wana Mafia walisema kuwa kamama CCM ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.