Ni kamanda Highness Kiwia atakuwepo Nyamanoro kuanzia saa nane mchana na nitakuwepo kuwapeni updates.Hakuna kulala mpaka kieleweke.Peeeeeeeooooooples Poweeee
Naibu waziri wa TAMISEMI Aggrey Mwanri amegoma kuzindua boti huko Bukoba mkoani kagera baada ya kupata taarifa kuwa boti hiyo ni kuu kuu na kuna harufu ya rushwa katika taratibu za ununuzi...
TAARIFA KWA VYOMBO VY A HABARI
TAMKO LA WANACHADEMA KIGAMBONI JUU YA MAANDAMANO KUPINGA UAMUZI NA KAULI ZA WAZIRI JOHN MAGUFULI
WANACHAMA wa CHADEMA Kigamboni na Watanzania wengine kwa...
Nawashauri Chadema au CUF kufanya Primaries election ktk Mikoa yote ya TZ mwaka 2013-14 ili kumtafuta mgombea rasmi wa uchaguzi wa mwaka 2015.
Chadema-CUF kama mtafanya hivyo, mtaweza kujenga...
Wadau kuna tetesi kwamba Bwana Karavina alitolewa pale PSRC ya zamani kwasababu ya ufisadi wa National Insurance.. na taarifa zilizopo mitaani zinasema ni rafiki wa wakubwa.. ndio wamlindao.. ni...
Published January 07, 2012| Associated Press
TEHRAN, Iran -- Iran's nuclear chief says his country is willing to help what he called "friendly" African nations that have uranium reserves to set...
HAPA ANAFANYA ufunguzi wa jengo la Bodi ya mapato Zanzibarhapa ni ufunguzi wa jengo kwa ajili ya wataalamu wa afya kutoka nje ya nchiKWA UPANDE WA PILIMH Dr kikwete na waombolezaji wengine...
Hamaad Rashid tutakukosa sana mbungeni hasa kwa busara zako.CUF ndio iliyokupeleka Mbungeni na sio mahakama kaombe Radhi urudi mbungeni namini Maalimu Sefu wewe humwezi hata kidodgo ,kwa vile yeye...
Wakuu, gazeti la raia mwema la leo limeujadili ktk ukurasa wa pili hali ya kisiasa ya mwaka 2011 na kusema kuwa ulikuwa ni mwaka wa kisiasa zaidi kutokana na matukio kadhaa yaliyoorodheshwa...
Big shots lead in land grabbing,says report
Sunday, 08 January 2012 11:08
By Bernard James
THE CITIZEN
Dar es Salaam.
National elites in developing countries, including Tanzania, have...
Wakuu, nawasilisha tamko la CHADEMA kuhusu yanayoendelea kwenye sakata la madktari...TAARIFA KWA UMMA WA WATANZANIA .
YAH; MADAKTARI WALIOKUWA MAFUNZONI/WASAIDIZI WA MADAKTARI BINGWA KUONDOLEWA...
This is what for time immemorial we had failed to do!! We see it now and all hell is loose! What cdm, Nccr and now Cuf are doing will translate as a milestone towards the long awaited principles...
Published On: Sun, Jan 8th, 2012
Tanzania | Published On: Sun, Jan 8th, 2012
The Minister of State in the Office of the Zanzibar Second Vice President, Mohammed Abood Mohammed
A well placed...
ASEMA MAMBO MAZITO YANATATULIWA KISIASA, MAFISADI WA EPA WANATAMBA
Leon Bahati
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa ametoa tathmini ya mwaka mmoja...
Huu waraka wa Husein Bashe nimeupata face Book
by Hussein Bashe on Wednesday, April 13, 2011 at 11:16am
WARAKA WANGU KWA CC NA SEKRETARIETI MPYA CHAMA
Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwa uteuzi...
Some senior members of the ruling party Chama cha Mapinduzi, who were contesting for seats during the party's nomination poll held in Dar es Salaam in 2010. Tanzania opposition political parties...
Greetings Wadau, mud a punde tutakuwa hewani Kama tulivyoahidi kupata version ya upande wa pili katika mgogoro unaozizima na muhimu wa na tafsiri tofauti ndani ya CUF
Unaweza kuwauliza Maswali...
Siyo mara yangu ya kwanza kushangazwa na hii sirikali ya JK wa pili. Hivi kwa nini watu wanakosa utashi wa kufanya mambo kwa akili zao na badala yake wanafanya kazi kwa kutumia akili za watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.