Hongera Waziri Maige kutoa ufafanuzi wa tuhuma za milioni 500 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Waziri Maige kutoa ufafanuzi wa tuhuma za milioni 500

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Inkoskaz, Jan 9, 2012.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Hongera mkuu kwa kujitokeza ktk vyombo vya habari na kutoa ufafanuzi wa vyanzo vya pesa za misaada uliyotoa jimboni kwako... hii inakupa free mind na sisi wananchi tunapata satisfaction ya utendaji na kuzima zile gossips.

  Ingekuwa viongozi wote wenye tuhuma wanafanya kama ulivyofanya tena kwa haraka tungekuwa mbali...waweja!

  Source: Live interview at pb-clouds
   
 2. N

  Njaare JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kazi ya Mbunge si kufadhili bali ni kumobilize resources ili zitumike kuondoa matatizo ya wananchi.

  :A S embarassed:
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  tutasubiri ajibu na ile ya majina ya watu 8 ambao amepeleka kimemo pale nssf kua waajiriwe ka ni kweli
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Nakuunga mkono mkuu.
   
 5. d

  daniel paul Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na pia tunataka atueleze ni kwanini anakwamishamhalmashauri ya mji wa kahama kuanza? Au kimahesabu amekwishaona kuwa ikianza meaya atatoka chadema kutokana na idadi kubwa ya madiwani wa mjini wametoka chadema . Tafadhaki atupe maelezo
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mimi sikubahatika kusikiliza hayo mahojiano, unaweza kutudadavulia amejiteteaje?
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kuzijibu tuhuma tu siyo sababu, iliyopo jibu alilotoa nila ukweli ama katuhadaa tu ili aonekane msafi machoni mwa watu
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ukweli wa mambo ni kwamba ndani ya ccm hakuna aliye msafi hata kama wakijibu hizo hoja kwa namna yoyote
   
 9. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mkuu Inkoskazi hebu rudi tena ufunguke huo ufafanuzi wa Maige unasemaje, wengine hatukubahatika kumsikiliza
   
 10. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  kati ya mawaziri wa serikali hii simwamini hata mmoja,
  lao moja,na siku zote wanasiasa ni waongo ili kutimiza malengo yao
  kwani fedha za EPA, mabilioni ya JK nk zimeishia wapi? je fedha walizoturudishia UK
  ktk sakata la rad mnajula zilipo? tusikubali kudanganywa mchana kweupe.
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu labda ni wapiga kura wake hao.
   
Loading...