Omari Kimbau na ubunge Mafia

bab aziziya

Member
Jan 5, 2012
17
1
Uchaguzi uliopita an-kal wake mzee Makamba (mama yake Omari Kimbau na Yusuf Makamba ni ndugu) alijitahidi sana apate ubunge kwa mlango wa nyuma lakini wana Mafia walisema kuwa kamama CCM ya Makamba ikiamua kufanya hivyo wao watawapa jimbo CUF ikabidi jimbo apewe aliyekuwa mgiganaji wa waasi wa burundi bwana Shaha

Omari ametangaza wazi kuwa safari hii anarudi kuchukua jimbo la Mafia na atatumia kiasi chochote kile cha pesa kulichukua jimbo lake ambalo anaamini ni haki yake ili amalize kazi aliyoianza baba yake (Kanali Kimbau).
Omari anasema amesha shauriana na vijana wengi na wamemsihi afuate nyayo za akiana JJ Mnyika, Zitto Kabwe, January Makamba, Tindu Lissu, Jerry Silaaa na Halima Mdee kwa kuwa mmoja kati ya vijana wapya ambao wataliongoza hili taifa kwa ngwe nyingi zijazo.

Sasa tunajiuliza je Omari anayo nafasi ya kushinda jimbo la Mafia?

Kwa sisi ambao ni wanywaji tunauliza kwa sababu charity begins at home je kafungua branch ya BAA kama aliyofungua huku Dar inayoiwa MAFIA LOUNGE au Kisiwani Mafia hakuna wanywaji?

IMG_2417.jpg
 
We ni mchonganishi,unajua wazi watu wa mafia wengi ni ma ustadh sasa unataka wamchukie na kumuona kafir kwa kufungua bar..siasa za maji taka hizi alijisemea mzee sam sitta huu usemi na mpaka leo unafanya kazi
 
Mmmh huyo alikua jirani yangu Kijitoinyama pale karibu na Capricon dispensary mtaa ulikua unajaa maji mvua ikinyesha yeye mwenyewe alikua anataabika akiwa mpangaji (maana alikua hana nyumba kijitonyama) sasa ubunge wa Mafia si atakua anaishi huku huku Dar akila posho nono na Mafia wataishia kuwa wa MAFIA tu??

Huyo anatafuta Posho tuuuuu ilimshinda Kata jimbo je??
 
We ni mchonganishi,unajua wazi watu wa mafia wengi ni ma ustadh sasa unataka wamchukie na kumuona kafir kwa kufungua bar..siasa za maji taka hizi alijisemea mzee sam sitta huu usemi na mpaka leo unafanya kazi
aisee kumbe !!! wabaya wake si wataenda kumpinga misikitini
 
..hivi ubunge wa Mafia una nini lakini?

..ni sawa na ubunge wa majimbo mengine nchini au kuna la zaidi?

..halafu hoja nyingi ziko too personal.
 
Ni afadhali ulevi kwa mafia kuliko kuliwa kiboga kuna mgombea mmoja mdogo wa kigogo Flani nasikia wanamhemea kisogoni Mafia bulj labda mumuue kipenzi cha wanamafia.......!!
 
Back
Top Bottom