Pamoja na Kelele Zao Zoote, Hivi Waunguja na Wapemba Wakirudi kwenye Visiwa Vyao Havitafurika??

NdasheneMbandu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
940
308
Wadau,

Najaribu ku-think loudly and widely. Najua hawa jamaa wa visiwani wametawanyika sana katika maeneo ya Tanganyika kuanzia Kyela Mbeya hadi Tarime Mara, kutoka Ujiji Kigoma hadi Ilala Dar es Salaam. Pia, ni ukweli usiopingika kwamba hata rate yao ya "kuongezeka" ni kubwa kutokana na ule utamaduni (dini?) wa kuwa na naniii zaidi ya mmoja. Je, endapo chokochoko hizi zinazoendelea sasa za kuona kuwa muungano hauna maana yoyote zikisababisha uvunjwe na hao jamaa wakalazimishwa kurejea makwao vile visiwa vitawatosha? Natamani sana hali hiyo itokee nione mshikemshike wa vita vya kugombea ardhi.
 
Mpemba akiondoka kwao huwa harudi sasa kazi kwako, unategemea waje waondoke Ilala ha ha ha ha ha
 
I wish wapemba waondoke Dar, by the way we are not benefiting from them.
Go back to Pemba!
Leave our Dar alone.
we can do without you.
 
Wadau,

Najaribu ku-think loudly and widely. Najua hawa jamaa wa visiwani wametawanyika sana katika maeneo ya Tanganyika kuanzia Kyela Mbeya hadi Tarime Mara, kutoka Ujiji Kigoma hadi Ilala Dar es Salaam. Pia, ni ukweli usiopingika kwamba hata rate yao ya "kuongezeka" ni kubwa kutokana na ule utamaduni (dini?) wa kuwa na naniii zaidi ya mmoja. Je, endapo chokochoko hizi zinazoendelea sasa za kuona kuwa muungano hauna maana yoyote zikisababisha uvunjwe na hao jamaa wakalazimishwa kurejea makwao vile visiwa vitawatosha? Natamani sana hali hiyo itokee nione mshikemshike wa vita vya kugombea ardhi.

Diaspora ya Zanzibar iko tofauti kuliko bandiko lako linavyoelekeza. Diaspora ya Zanizbar ni karibia 90% Wapemba. Waunguja utawakuta wapo bara kwa sababu ya uhamisho wa hapa na pale katika ma-SU na taasisi za serikali - ni wachache sana. Waunguja wako kama watu wa Pwani bara, wameridhika na walichonacho. Wapemba nawafananisha na Wachagga, wanapigania kujiendeleza hata kama ni kuhama mkoa.

Kama muungano ukivunjika, Wapemba walio bara wengi wao wataomba uraia wa TG. Waunguja watarudi Zanzibar.
 
Hapana Okada, Wapemba wanachangia sana maendeleo ya Dar. Wana discline ya kazi na biashara zao hazina utapeli. Inawezekana kuwa wewe hauwapendi kwa sababu tu wanapenda kukaa kivyao. Ndugu, hiyo siyo sababu ya kumtaka mtu ahame mji
 
Wapemba nadhani ni wengi zaidi ya waunguja. Muungano ukivunjika maana yake ni kwamba diplomasia kati ya Tanganyika na Zanzibar itakuwa imekaa tenge. Kwa hiyo uwezekano wa kutimuana ni mkubwa. Wapemba na waunguja wakirushiwa vilago vyao na kurudi visiwani lazima kutafurika. Waunguja hawatakubali wapemba wajazane kwenye kisiwa cha Unguja. Similarly, wapemba hawatakubali waunguja wajazane kwenye kisiwa cha Pemba. Hiyo ita-trigger muungano wa Unguja na Pemba kuvunjwa. Na huo ndiyo muziki ninaoombea utokee ili kiburi cha akina Jussa kipate mshahara wake.
 
Kutengana ni kisiasa siyo kuhamisha watu mtakuwa hamuelewi siasa nyie??

Wapemba wataruhusiwa kukaa Tanganyika kama ambavyo watanganyika wataruhusiwa kukaa zanzibar ila wafuate laws of the land

Kutengana siyo maana yake kuhamisha watu ..total confusion
 
Huu Muungano uliombwa na Wazanzibar baada ya Mapinduzi.

1. Waliogopa kuwa waarabu watajipanga waje wakarudishe mustakhabali uliokuwepo.
2. Waunguja na Wapemba hawakuaminiana, hivyo nchi ilikuwa haitawaliki
3. Wamarekani wali-support muungano ili kuzuia Zanzibar isiwe ya Kikomunisti

Kama Muungano ukivunjika, 1. na 2. - na hasa 2. itapelekea taifa jipya la Zanzibar kupata shida kuwa Hong Kong ya East Africa.
 
Jamani hebu tuachane na haya mambo ya kuvunjika kwa muungano,ningependa hizi changamoto za muungano zipatiwe ufumbuzi wa kweli siku moja na wala si kufikia kuvunjika na kutengana,kihistoria waunguja ni kizazi cha wakulima waliochukuliwa utumwani na waarabu kwenda kulima karafuu visiwani wengi wao wakitokea maeneo ya Tabora/wanyamwezi,hawa ni wenzetu kabisa na ukifuatilia kwa undani ambao hawautaki muungano ni wale wazenji wasio na exposure yaani wamezaliwa huko na wamekulia huko kama kuja bara ni mara moja moja sana tena kwa muda mfupi tu ama kama sivyo basi ni wanasiasa wenye uroho wa fedha!Wazenji waliosoma na wenye-exposure huwezi waambia kitu kuhusu muungano maana matunda yake wanayaona!Hizi ni changamoto ndogo ndogo tu na tunaweza kuzimaliza iwe kwa serikali moja au tatu yote yawezekana!!
 
Kutengana ni kisiasa siyo kuhamisha watu mtakuwa hamuelewi siasa nyie??

Wapemba wataruhusiwa kukaa Tanganyika kama ambavyo watanganyika wataruhusiwa kukaa zanzibar ila wafuate laws of the land

Kutengana siyo maana yake kuhamisha watu ..total confusion

Unachosema kinategemeana na mahusiano kati ya nchi hizo mbili yaani Tanganyika na Zanzibar. Nchi zisipokuwa na mahusiano mazuri, wananchi wake watawezaje kuishi kwenye nchi nyingine??!! Ndiyo maana suala la diplomasia linakuwa muhimu hapa.
 
Ndio huu muungano hautavunjika kwa vita bali maelewano kati ya wananchi wa nchi hizi mbili..kwa hiyo hilo swala la kuhamisha watu halitakuwepo kabisa unless tuko kwenye vita..
 
Ndugu yangu, watanganyika wameficha hasira zao kutokana na kauli zinazotolewa na watu kama akina jussa. Ikifikia stage ya kuvunja muungano, lazima kutakuwa na hali ambayo kimahusiano haitakuwa nzuri. Bunge la Tanganyika lazima litakaa na kuunda sheria za kusimamia movements za wananchi. Ile roho iliyosababisha muungano uvunjwe haitakufa. Lazima itaendelea kufukuta.
 
akili za watu humu sijui fupi sana au vipi?

tuna wakenya,waganda,warundi mpaka wachina na wakorea

halafu tuwafukuze waunguja na wapemba kisa nini?????

kwani kuna muungano wa sisi na CHINA??AU KENYA?????

MBONA WAMEJAA TELE??????
 
Ni hasira bandia tu hiyo kwasababu wananchi wa zanzibar wanaoishi bara hawana makosa yoyte ile kisheria hadi hapo sheria zitakpobadilshwa; wataishi kutegemeana na laws of the land za wakati huo..hakuna kitu kigumu hapo kuelewa

Kwenye debates lazima kuna heats na kuchemka kiasi lakini (wakishafika kwenye privates sessions) wanasiasa huungana kuangalia namna bora ya kuondosha matatizo na imetokea hapa kwetu mara nyingi sana..sidhani hili la muungano ni tatizo kubwa sana

Wanachodai wazanzibar hata mimi ningekuwa mzanzibar ningehoji tena sana tu..
 
akili za watu humu sijui fupi sana au vipi?

tuna wakenya,waganda,warundi mpaka wachina na wakorea

halafu tuwafukuze waunguja na wapemba kisa nini?????

kwani kuna muungano wa sisi na CHINA??AU KENYA?????

MBONA WAMEJAA TELE??????

Wanajifanya hamnazo..
 
Waganda Wakenya Wachina waliopo Tanganyika hawatutungii sheria. Hawa Wapemba na Waunguja wana influence kubwa sana katika maisha ya Mtanganyika ya kila siku kiutawala nk. Na kibaya zaidi kila kukicha wanadai mamlaka zaidi ya kututawala sisi WaTanganyika
 
Wadau,

Najaribu ku-think loudly and widely. Najua hawa jamaa wa visiwani wametawanyika sana katika maeneo ya Tanganyika kuanzia Kyela Mbeya hadi Tarime Mara, kutoka Ujiji Kigoma hadi Ilala Dar es Salaam. Pia, ni ukweli usiopingika kwamba hata rate yao ya "kuongezeka" ni kubwa kutokana na ule utamaduni (dini?) wa kuwa na naniii zaidi ya mmoja. Je, endapo chokochoko hizi zinazoendelea sasa za kuona kuwa muungano hauna maana yoyote zikisababisha uvunjwe na hao jamaa wakalazimishwa kurejea makwao vile visiwa vitawatosha? Natamani sana hali hiyo itokee nione mshikemshike wa vita vya kugombea ardhi.

Tatizo la nyie mnaotoka mrima mnafikiri kwa kutumia............... Hivyo juu ya udogo wa Zanzibar inakuwaje mnajijaza kule nanyi mnaona kuwa wenyewe hakututoshi?
 
Mpemba akiondoka kwao huwa harudi sasa kazi kwako, unategemea waje waondoke Ilala ha ha ha ha ha

Kwani wewe uliotoka Tabora na kuja Dar hata umefikiri kurudi kule ? si mnabanana na Wazaramo tu. Na ubaya zaidi angalau Mpemba alikujengeeeni majumba wewe unakalia Dar kwa kutegemea kodi ya chumba kimoja na binti yako!
 
Back
Top Bottom