Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wasalaam Aleihkum wana JF, Wahenga wanasema "vita vya panzi furaha ya kunguru na pia adui yako muombee njaa! Huu ndio ujumbe ninaoweza kuutoa hapa leo JF: nina uhakika hamna anayefurahia migogoro...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
kwenye kampeni ya bomoa bomoa watu waliovamia barabara licha ya kukatazwa na pinda na JK yeye alibomoa na kuacha haibu kubwa kwa JK na Pinda . sasa sakata la nauli za kigamboni lipo kwa pinda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kamati ya Utendaji ya Taifa ya Chama Cha Wananchi (CUF) imefanya kikao chake cha kawaida cha siku mbili mjini Zanzibar tarehe 30 – 31 Desemba, 2011 chini ya Katibu...
6 Reactions
94 Replies
9K Views
Jamani naumia sanaa kusukia mtikila a namusifia sanaa sumaye hivi jamani ana usafi gani naomba mnijuze mwenzenu
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi ndugu zangu kuwa na marais watano katika nchi maskini kama Tanzania ni kuongeza utawala bora ua ni kujiongezea umasikini. Zanzibar kuna marais 3 na muungano 2 je huu si mzigo kwetu. Katiba...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim seif Shariff Hamad ambaye pia ni makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya mapinduzi (inayoongozwa na sera na ilani ya CCM) jana alijkwenda kwenye mkutano wa chama chake...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jangwani Dar wakihama na Serikali ihamie Dodoma? Privatus Karugendo WASOMAJI wangu nianze makala hii kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya. Tumshukuru Mungu kwa wema wake kutuvusha kuingia mwaka wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nipo maeneo ya ferry kigamboni maarufu kwa bi tulule opposite na kwa watoto yatima.vijana wameniita kutaka ushauri wa kisheria.wamepanga kesho wavuka kwa mbizi kwa pamoja kunusuru 200...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Jangwani Dar wakihama na Serikali ihamie Dodoma? Privatus Karugendo WASOMAJI wangu nianze makala hii kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya. Tumshukuru Mungu kwa wema wake kutuvusha kuingia mwaka wa...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF na Makamu wa Kwanza wa serikali ya Zanzibar, Mh. Maalim Seif Hamad leo atakuwa akihutubia katika viwanja vya Bakhresa-Manzese Dar es Salaam kuanzia saa 8...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Wadau: Makala hii iliyotoka katika The African siku ya Jumamosi mwandishi anawalaumu viongozi wa CUF, kwamba kutokana na ukweli kwamba chama hicho kinaporomoka sana uungwaji mkono huku Bara...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Huu ni mtindo ambao CCM imekuwa ikiutumia. Je una nafasi 2015?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimesikia taarifa ya bbc saa 05;00,asubuhi,naweza sahishwa ktk %
0 Reactions
1 Replies
1K Views
8th January 12 Why rotating union presidency dangerous Mwinyi Sadallah A well placed cabinet minister in Zanzibar has criticized recent demands by some quarters on the Mainland and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Diwani mmoja wa ccm na waziri wake ambao ni vijana na wanatoka wilaya moja ya mkoa wa mwanza,huenda wakatinga mahakamani muda wowote kujibu mashitaka dhidi yao.viongozi hao ambao wanamiliki jengo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Demokrasia imeshuka kwa % kubwa sana Tanzania. Kumekuwapo na mambo yasiyofaa na ya kinafiki kama vile kumwachia rais aliyepo madarakani amalizie kipindi chake cha miaka 10! Au mwenyekiti wa chama...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Diwani mmoja wa ccm na waziri wake ambao ni vijana na wanatoka wilaya moja ya mkoa wa mwanza,huenda wakatinga mahakamani muda wowote kujibu mashitaka dhidi yao.viongozi hao ambao wanamiliki jengo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Slaa alipua kombora jingine Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbord Slaa, amelipua kombora jingine kwa kuziweka hadharani kampuni zilizoshindwa kurejesha fedha za...
7 Reactions
73 Replies
6K Views
tujifunze kuendesha mijadala ya kuwapata viongozi kwa wenzetu,sio mtu anazuka tu hata hatujui alikotokea na jinsi anavyopanga na kujenga hoja tunampa uongozi,no lazima wagombea wetu wawe testedGOP...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Je Lema kuchakachuliwa kama alivyowafanyiwa Mrema, Magufuli na sasa Lema? Katika uvunjifu wa sheria ulio tokea tarehe 18-12-2010 na kupelekea kipigo kwa Mbunge wa Arusha mjini na baadae mauji ya...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Back
Top Bottom