Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

pamoja na kupitishwa kwa sheria ya mchakato wa katiba mpya kwa mbwembwe na wabunge wa CCM na ndugu zao CUF, habari za kuaminika ni kuwa serikali inawasilisha bungeni marekebisho ya sheria hiyo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Taasisi ya Amani ya Kiislam (IFP) imekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kwa kujenga msikiti katika kijiji cha Nshara mkoani Kilimanjaro, msikiti ambao umejengwa kutokana na...
0 Reactions
74 Replies
7K Views
Harakati za kinacho onekana kama kujivua gamba ndani ya chama cha nccr mageuzi zimetoa sura mpya leo baada wajumbe watatu kati ya watano wa mkutano mkuu kutoka mkoa wa mara kutokubaliana na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya kufanya mkutano mkubwa wa kumbukumbu ya Jan 5, na wanachi kuchangia Laki nane kwa ajili ya wahanga, leo viongozi wa wilaya wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wa wilaya ambaye pia ni...
3 Reactions
60 Replies
9K Views
CCM Sengerema si shwari, wamkataa Katibu wao HALI ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza si shwari, baada ya kile kinachodaiwa Kamati ya Siasa ya CCM...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana kwa walioangalia Vyombo vya Habari, Mkataba wa kujenga Daraja na Kigamboni ni tayari na Linatakiwa kumalizika baada ya Miaka 3. Anayesimamia ni Mh John Pombe Magufuli,na huyu huyu ndiye...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Juzi Mh.Magufuli alipopandisha nauli ya kivuko muling'aka na kuweka tofauti za kichama pembeni huku mukidiriki kumtaka aombe radhi..Tena hii ni ishu ambayo htuwezi kusema ina hatarisha maisha ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi karibuni msajili wa vyama vya siasa amekuwa mstari wa mbele kuonyeshwa kutokuridhishwa na baadhi ya vyama kuwafukuza viongozi wake. Hatumuelewi Tendwa kuwa ni kweli anatetea kukua kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Prudence Karugendo KWA siku za karibuni zimekuwapo lawama kutoka kwa wananchi na taasisi mbalimbali za kiraia dhidi ya utendaji usioridhisha unaoonyeshwa na watumishi wa umma. Lawama hizo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanafalisafa mmoja alipata kusema hivi " Unafahamu ni kitu gani kimenishangaza kuliko vyote maishani? Ni kushindwa kwa matumizi ya nguvu kunipatia kitu chochote cha maana na endelevu katika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu watanzania. Tumekuwa walalamikaji tuu mda mwingi bila ta kutoa majibu ya matatizo yetu yanayo tukabil. Kwa lugha ya picha, tupo ndani ya gari tunasafiri. Ila...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Salaam wadau wote wa JF. Nipo wilayani Mwanga Takribani wiki tatu sasa. Nimekuwa nikifuatalia ziara ya Mbunge wa Jimbo la Mwanga Prof. Jumanne Abdala Maghembe anayoifanya jimboni mwake kuhusu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu unaona niyupi anagombania urais 2015 ndani ya CCM bila aibu?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hakika Watanzania inavyoonyesha japo si lasmi harakati za baadhi ya wanasiasa wengine kwa hiari yao wengine pasi hiari yao wameanza kampeni za kinyanganyiro kisicho lasmi cha kiti cha urais kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtikila atafuta fedha kumfungulia kesi Pinda Saturday, 04 December 2010 22:36 Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Chama cha DP, Mchungaji Cristopher Mtikila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KIKAO cha Halmashauri Kuu (Nec) ya CCM mkoani Arusha, kilichokuwa kimepangwa kufanyika kesho, kimeahirishwa tena hadi Januari 14 katika kile kilichoelezwa kuwa ni kutokamilika kwa maandalizi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii ndiyo ccm mpya niionavyo kwa sasa......hawana sera tena....viongozi wake mawazo yao yameganda......wamechoka kufikiri.......matokeo yake wamekufa pamoja na ccm yao...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hatuna haja ya kubishana na mamlaka sana kuhusu katiba tunayoitaka ila la msingi ni kuomba KATIBA HIYO ITUACHIE UHURU WETU KATIKA DINI NA KUABUDU, bila kujali ni mamlaka ya nani/ipi/ kati ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NI KWA KUDHARAU AMRI YA MAHAKAMA, ASEMA KOSA HILO LINAKIFANYA KIKOSE UHALALI WA KUWA CHAMA CHA SIASA Kizitto Noya MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema amesema Chama Cha...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Hawa waislamu walishangilia sana wakati JK anasaini hiyo sheria ya marekebisho ya katiba, wakifikiri wanaikomoa CDM. Matokeo ya kushangilia DHAMBI sasa itaanza kuwatafuna wao. Sheria aliyoisani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom