Ujenzi wa mji wa kisasa Arusha; mbunge Goodbless Lema naye anahusika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujenzi wa mji wa kisasa Arusha; mbunge Goodbless Lema naye anahusika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ritz, Dec 28, 2011.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Wanabodi..

  Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa kushirikiana na Kampuni ya ujenzi ya Phils International ya Dubai.

  Wanatarajiwa kuboresha jiji la Arusha kwa kuwekeza katika mradi mkubwa wa ujenzi wa mji wa kisasa wa kibiashara.

  Utajengwa katika eneo la Kaloleni jijini Arusha..

  Lema anausika kwenye huu mradi wa wana Arusha kama mbunge au katoa mchango gani?

  Mradi huo unataraji kukamilika ndani ya miaka mitano ambapo jumla ya wakazi 24,000 ambao wanaishi Kaloleni watalazimika kupisha ujenzi huo..
  Kwa mujibu wa Meya wa jiji la Arusha Gaudence Lyimo katika kikao cha kamati ya uwekezaji, alisema mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha wakazi wa jiji la Arusha.

  Katika mradi huo wanatarajia kujenga maduka makubwa, shule, hospitali, sehemu za kupumzika pamoja na maeneo ya maegesho ya magari..

  Chadema wanasemaje kuhusu huu mradi wa Arusha
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Lema hausiki wanaohusika ni "Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa kushirikiana na Kampuni ya ujenzi ya Phils International ya Dubai."
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Pongezi kwa halmashauri ya jiji la Arusha!
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Chadema wamekalia maandamano tu wakati CCM wanawatumikia wana Arusha
   
 5. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Kwani lema si miongoni mwa wajumbe wa madiwani wa halmashuri. Maana meya hawezi kupitisha jambo lolote peke yake.:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:
   
 6. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Mada tajwa hapo juu iko kishabiki zaidi,hata kama lema angechangia wewe inakuhusu nini!waachie wana arusha wenyewe
   
 7. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mkuu ritz,

  Hizo nyumba zitakazohusika na huu mradi zina wakaazi zaidi ya mia tano.Shida kubwa watakayokumbana nayo wakaazi watakapisha huo mradi ni kodi kubwa za nyumba jiji Arusha na upatikanaji wa nyumba nyingi kwaajili ya kuwapokea watu mia tano kwa mara moja.Huu mradi mwanzoni ulikuwa uchukuliwe na NSSF nadhani ulishindikana kwasababu ulihitaji fedha nyingi kwa mara moja.

  Mheshimiwa diwani wa Kaloleni Rasta alipinga wazo la mradi kutekelezwa kwa mara moja kwa hofu ya wananchi wengi kukosa mahali pa kujihifadhi bahati mbaya CDM wameshamtimua wakaazi wa Kaloleni hawana mwakiishi wa kuwatetea.

  Ingawa kuna baadhi ya wakaazi wa Kaloleni watakao angaika kwa kukosa sehemu nzuri ya kujihifadhi lakini faida za mradi ni kubwa na nzuri kwa jiji la Arusha na wakaazi wake.   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ccm ipi inawatumikia wanawa arusha kama siyo unaongea kwa kutumia masaburi arusha ina madiwani na mbunge haina meya kama kibaraka wenzako ritz anavyo sema acha ushabiki wa nape hatamahali hapaitjiki kuweka ushabiki unaweka kama ujui kusoma hata picha uoni imeandikwa sana kwenye magazeti arusha haina meya na tarehe 5 januar uliona kwenye tv bado elimu huikubali nimesahau kumbe unafanya kazi ya nape
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Arusha haina meya arusha ina madiwani na mbunge
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Arusha haina meya arusha ina madiwani na mbunge
   
 11. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huu mradi upo hata kabla Lema hajawa mbunge na Lyimo hajawa Meya .........
  Uliza wenyeji kwanza, tukuelezeee.
   
 12. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Heshima mgafilika.

  Arusha inahitaji maendeleo suala la Meya lilishamalizika siku nyingi kinachoendelea ni propaganda za kisiasa ambazo hazina mashiko.Uchaguzi wa Meya ukishafanyika zipo siku 30 za kumpinga mahakamani kama CDM haikufanya hivyo wakaamua kuandamana hadi watu wakafa leo unakwenda mwaka wa pili bado haujafunguka waalimu wako walikuwa na taabu kubwa.


   
 13. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hapo imetulia
   
 14. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Cha Moto.

  Ni kweli mradi ulikuwepo siku nyingi lakini utekelezaji ulisuasua Meya wa sasa Mheshimiwa Lyimo kafanya kweli ukikamilika atakuwa na haki ya kujivunia yeye na chama chake.


   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kwa mujibu wa kazi yako uliyo tumwana nape na pinda swala la umeya arusha kwa upande wenu umekwisha lakini kwetu sisi wana waarusha hauja kwisha hata kidogo arusha inaongozwa na mbunge wacha ubwege ccm mkishindwa kwa hoja mnakimbilia elimu
   
 16. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Nimeangalia ulijiunga lini JF nikakuta tangu mwaka 2007 hupo hapa jamvini huna ulichojifunza kunakila dalili wewe ni kati ya wale vijana wala mirungi ambao hoja ujibiwa kwa viroja.


  Ikiwa suala la Meya halijaisha mbona mbona hamkwenda mahakamani ndani ya siku 30 kama sheria inavyoelekeza ?.Utafanya nini kama maandamano mlishaandamana hakuna kitu !.

   
 17. matwi

  matwi JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hivi kuna ulazima gani wa kujenga Kaloleni kwanini wasiweke hayo majengo nje ya mji hii ndio baadae itakua kama dar traffic jam kibao maaana kila kitu kitakua mjini.haya na AICC wakimaliza mradi wao wa soweto wa kujenga bussines complex si itakua ni vurugu tupu
   
 18. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Lema kwa uwezo gani alionao ashiriki kwenye shughuli za maendeleo?
  yeye na chama chake ni misiba na maandamano,hata china atayafuata ashiriki.
  OTIS
   
 19. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mradi ni mzuri kama hautakuwa na ufisadi jambo ambalo ni gumu kwa sasa kwa manispaa ya Arusha, mkurugenzi ni mwizi wa "mchana kweupe" sasa sijui tutaponaje hapo. Ila jambo moja la msingi ni kwamba katika maswala ya maendeleo siasa zapaswa kukaa pembeni na kusimamia sera badala ya ujuaji ninachokiona hapa magamba wanakuja na ujuaji kana kwamba miradi inatekelezwa kisiasa ila ukweli kazi ya siasa itabaki kwenye sera.. na kwa mantiki hiyo kisera Arusha ni CDM gamba lipo mbali hata wao wanajua hilo
   
 20. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Sasa kwenye magamba ni nani mwenye uwezo kama hata nchi sasa imefilisika? Au huna habari hebu soma/kong'oli hapa ili ujue kwamba magamba imejaa vilaza..
   
Loading...