Report card ya wabunge wa Dar: JJ Mnyika

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
images


Mwaka ushapita sasa tunaomba wana Ubungo na wana Dar na JF kwa ujumle mtuleteee report card ya huyu JJ MNYIKA

Je Mbunge huyu alitoa ahadi zipi kwa wana Ubungo

Je ana elimu gani?

Komsomea nini

Kasoma wapi?

Je kashatekeleza ngapi?

Je yumo kwenye kamati zipi?

Je anato access kwa wapiga kura wake?

Je ana ofisi jimboni kwake?

Je anayo website?

Je anayo namba maalum ya kuwasiliana na wapiga kura wake?

Je anayo Facebook page?

Je anapatikana kwenye Twitter?

Je ana fanya surgery (kukutana na kuwasikiliza ) wapiga kura wake?

Je ame declare interests zipi kama mtumishi wa umma?

Je analipwa mshahara kiasi gani?

Je anachukua posho?

Kiasi gani anachukua kwa mwezi?

Je wana Ubungo wanamaoni gani kuhusu performance yake?

Je potential competitors wake in 2015 ni akina nani?

Je ana maoni gani kuhusiana na blue print ya kuliendeleza jumbo la Ubungo?

Je amopokea zawadi sosote toka kwa wafanyabiashara au watu binafsi?

Zawadi hizo ni zipi?

Je ame declare kama amepokea hizo zawadi?

Je private life yake ni reflection ya hao anawa wakilisha?

Je Ubungo kuna issues 5 kubwa ambazo alitakiwa kuzishughulia je ni zipi?

Je ana shiriki kwenye shughuli za kijamii (yuko close na wapiga kura wake) au haonekani mpaka kutokee issue yenye kumpa publicity?


Je kwa Mtazamo wa haraka haraka JJ MNYIKA atarudishwa tena na wan Ubungo in 2015?

Je ni Cabinet material? If so wizara gani itamfaa?

Rough estimates za Budget ya JJ kulichukua tena jimbo la ubungo ni kiasi gani?
 
Tukimaliza tuanze ku-pick na wale wengine walionyesha mipango ya 'kisasa' ya maendeleo kama January Makamba pia
 
halafu tucheki na card ya mzee komba, naskia ana mpango wa kuibua singo kali tatu mwezi wa nne
 
Binafsi sidhani kama kuna hata mmoja aliyetekeleza hata asilimia moja na nusu ya ahadi zake. Lakini ngoja nisubiri nione...
 
Binafsi sidhani kama kuna hata mmoja aliyetekeleza hata asilimia moja na nusu ya ahadi zake. Lakini ngoja nisubiri nione...

Wabunge wa upinzani watasema "system inawaangusha", ambayo inakuwacha ukijiuliza "hawakuyajua haya wakati wa kampeni?"
 
Na wa CCM watasemaje sasa? Lol

Wa CCM waanza "mipango mkakati inaendelea" na Kiswahili kingine kireeeeru, bila ya kutoa any tangible facts

Na ndo hasa hamu yangu kuwa January Makamba tuone report card yake :lol:
 
halafu tucheki na card ya mzee komba, naskia ana mpango wa kuibua singo kali tatu mwezi wa nne

Hehe kwani bado anaingia studio ..??

Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
 
Huyu aliyeanzisha thead hii inaonyesha anachuki binafsi na Mnyika JJ,kwanini asianze na walioshika dola? Katumwa na akina Nape huyo ,kunamtu anamsafishia njia ya 2015
 
Huyu aliyeanzisha thead hii inaonyesha anachuki binafsi na Mnyika JJ,kwanini asianze na walioshika dola? Katumwa na akina Nape huyo ,kunamtu anamsafishia njia ya 2015
Awe na chuki binafsi au laa, bado hoja yake ni ya msingi. Kamwanzishia JJ na wabunge wengine wa Dar, wote hawa na walioko mikoani inabidi wajullikane progress zao tangu waingie mjengoni, si chama tawala tu bali hata wapinzani.

Kuna mambo mengine kwa juu juu huonekana ya kibaguzi au kiupendeleo, kumbe mantiki yake baada ya muda inafaa kwa maendeleo ya Taifa letu.
 
Mafia moto mkali kule?

Ni vizuri kuona wenye nia wanaanza kufanya research mapema badala ya kusubiri mpaka dakika za majeruhi ambapo inashawishi kutoa rushwa.

Siasa za Mafia zinafuata mkondo wa Mbeya zilizokuwa kati ya Mwakyembe na Mwakalinga
 
Back
Top Bottom